♍ wamerudi tena bwana na wala sina mda nao kama ni mapenzi sina bahati nayo
2026-09-01 16:59:28
7
MPOLE 🇹🇿♓ :
nishamrudia Gemini jamani sijui ntalia
2026-09-01 18:04:24
1
marynice :
😳😳ni kwel kabisa wamerudi ila siwataki Tena Wala siwaamini Tena🙌
2026-09-01 17:40:31
3
Grace John :
libra natexeka jamaniiii🥺🥺🥺🥺
2026-09-01 16:53:08
0
user7165207538485 :
doctor mwaka wewe ni moto wa kuotea mbali😂Mimi ni cancer ex wangu amerudi kwa Bashasha Eti nimekumic naomba tuonane, wakati Mimi na muhitaji alikuwa jeuri nilikuwa siwezi kufanya chochote kila mara na muaza mpka nilikonda nikawa kama moja🤣sahivi anajileta kirahisi nataka nimpige tukio Moja akafie mbele huko,sitaki tena kurudi kwenye mateso😂
2026-09-01 22:43:56
2
Queen Chelesencia :
Capricorn huyo 😂😂😂 anajifanya na moyo wake baridi ila kwa kaa akishavaa gamba lake ohh sijui itakuwaje Asante kwa usomaji mpnz 🥰🥰
2026-09-01 18:55:14
0
the password @26 :
we hatar mnoo😂
2026-09-01 20:53:35
1
_____blissbaby🦋🩵 :
Mbona Kama kweliii 😁😁😁
2026-09-01 16:32:57
2
cutesdayra :
Dr mwaka nakupa salute habibty yaan namaliza kusikiliza reading yangu sijakaa hata Lisaa huyu mtu kanitafuta anajifanya na maneno mengi ya kunimis hadi kunitumia picha Nami sijampa umuhimu nipo busy na mambo yangu. Salute kwako habibty 😍
2026-09-01 18:46:52
1
moonqueen💫 :
Libra mie… nanyooshwa
2026-09-02 06:45:54
0
Jojo🥰 :
Taurus pieces Karud Kwa muamala na bina ya mtoto Ila me Kama sijuw kua Anataka nini 😂😂 nlishaendeleeaa na yanguuuu mie😂
2026-09-02 04:37:46
0
Lulu Michael103 :
😂😂salute kwako dada🙌
2026-09-02 04:37:11
0
sophy dacute🦁 :
me wamerud ndoton nimewaota wote nilivyoamka nimecheka 😹😹😹
2026-09-02 06:09:51
0
To see more videos from user @drmwakaglobal, please go to the Tikwm
homepage.