@absonmotivation: Usimwambie kila mtu ndoto zako. Fanya kazi kimya kimya, na uache matokeo yaongee wenyewe. 🤫🔨 Je, umewahi kudharauliwa kwa ndoto zako? Sema "Amen" kama umeamua kuendelea kimya hadi ufaulu wako uwaziba midomo waliokupunguzia thamani.#HekimaYaKiafrika #ManenoYaBusara #UkweliWaMaisha #TanzaniaMotivation #MotisheYaKiswahili