@kiehshwqhwh:

xxxtyz
xxxtyz
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 16:38:08 GMT
77379
2214
105
127

Music

Download

Comments

mgoha33
promise :
mhhhhh na iwe ivyo mahospital maness wanadharau sana
2026-09-03 06:24:36
21
stamphord2
Justin stamphord :
hatimae nimefkiwa leo ntaacha jamn khaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣😂😂
2026-09-03 12:49:12
0
tricenathan1
TRICE CHURCH GIRL🧚‍♀️💕 :
na yeye aache kulala kila kikao😂😂😂😂
2026-09-03 10:04:07
4
magreth7051
Tufugeme malolo :
uende na general hospital wanarundika wagonjwa opd,,akianza kukagua kadi nusu saa huku wanajua wagonjwa wengi Wana vipimo wanakaguaga Nini humo wenzao wa Benjamin wako shap sana anakagua chap kwa haraka
2026-09-03 14:34:58
2
sam.mpole93
Sam Mpole :
kazi ipo ndio rais wetu huyu
2026-09-03 06:23:24
6
user728219817922
penina moke :
Asante sana hapo umesema kweli kabisa
2026-09-03 10:07:28
2
user31kasha
kasha##,,ba'junio₩ :
mnaongeagatu ila yanaendelea yaleyale
2026-09-03 07:33:14
0
user131561855
user131561855 :
waambiee haoo
2026-09-03 08:36:28
1
kadoshi46
Kadoshi :
KAZI NA DAWA. TUCHAPE KAZI WATANZANIA, TUTOE HUDUMA KWA WAKATI KWA WANANCHI WETU.
2026-09-03 10:48:53
2
wandimakaoneka
wandimakaoneka :
ila mkuu isiwe mwazo tu uendellee watazzania wanapenda sana kuabudiwa ktk Kaz zao hongera sana
2026-09-03 06:12:53
5
tangomike0
THAT'S WHY :
hapo hakuna anaekusikia kama kungekua na kamera maofisini ungeniambia
2026-09-03 16:35:29
0
user3161702048351
user3161702048351 :
😂😂😂😂😂😂😂😂sasa kazi wanayoooo
2026-09-03 07:04:51
2
advocate7173
ADVOCATE :
HUYU NI FAMILIA KABISAA AMEJUAJE TABIA ZETU
2026-09-03 04:27:11
3
user4374807786661
tiktok :
Kazi ipo😁😁😁😁😳😂🥰😏😅
2026-09-03 08:43:54
1
gabrielmwakalenge
GABRIEL MWAKALENGE :
ndio kawaweka Juani kisa chapat aahh hii AI
2026-09-03 16:26:44
0
user3619040185969
Ray macake :
Sauti ya mamlaka
2026-09-03 06:41:46
1
user6529696873453
lista Jackson🍎🩵 :
uyu badae ndio awe raisi au
2026-09-03 06:27:07
1
mwakahabala
Mwakahabala :
Chakula sio issue kwa kweli!! Watumishi nao ni watu, waacheni wale!! Cha msingi wazingatie muda!! Kuhudumiwa na mtu mwenye njaa ni hatari zaidi.
2026-09-02 14:57:29
3
jphone70
j-1987 :
🤣🤣🤣 waelezee jamaa!
2026-09-03 16:03:41
0
user6176302261962
AJEF 2026 :
walikuwepo🤣🤣🤣
2026-09-03 16:13:31
0
foodvibe.with.self
MiArmor :
Jamani tembelea na ofisi za ARIDHI DODOMA 😭😭
2026-09-03 16:51:22
0
user10401539965817
user10401539965817 :
waaze na mahospital kunashida kubwa sana mkuuu umeongea kweli kabisa
2026-09-03 16:37:30
0
josephine.mallya700
Josephine Mallya :
Safiiiii baba waambie ukweli wakae wakijua😂😂😂
2026-09-03 17:06:52
0
slvia203
slvia :
jmn hospital wabazingua sana kwakwl
2026-09-03 16:24:15
0
user3161702048351
user3161702048351 :
kaka
2026-09-03 07:05:22
0
To see more videos from user @kiehshwqhwh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About