@senetor_king: NINGEKUA RAIS 😁😂 Wanafunzi shule mngeenda mara moja2 kwa week na kila baada ya weeks mbili rikizo ya week je? Kwa mwezi wangesoma siku ngapi? Ningegawa wigi bure kwa mademu wenye visogo😂😂🙌🏻 Ahadi gani umeikubali?? Usisahau kugusa link kwenye bio kusikiliza wimbo wangu mpya au search NITASEMA katika platform zote #fyp #viral #tiktok #foryoupage #foryoupage