@mandoplus_:

MandoPlus
MandoPlus
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 16:47:35 GMT
42655
2637
68
17

Music

Download

Comments

the_team_builder
Paul Team Builder :
Ngoma ya Hennessy ni kama ameimba mtu wa Nigeria🔥
2026-09-01 18:09:36
62
walker_mabango
Walker🗼 :
iyo selemapopo ni remix au😅😅😅😅😅
2026-09-01 18:17:33
20
daxte01
daxte01 brand 🤩 :
Kuna hiyo Ngoma Kali inaitwa lost🔥🔥🔥
2026-09-01 19:19:19
14
gee_unique23
gee unique :
marioo alimtoa pia kwenye album yake na alikuwa sana mle yani
2026-09-01 18:22:03
9
designerrobien
designerrobien :
The guy's music was too much for Tanzanian let be honest, Luoi's music is great brother ila atakuweza kumampa enough respect or recognition yani kama South alimpa tuzo iyo dont you think we took him lighly
2026-09-01 18:47:44
4
ahzy10
Açhúzy🔹 :
ukipata nafasi Nenda kasikilize nyimbo inaitwa tight jamaaa anajua
2026-09-01 21:59:29
3
feint_01
Feint_ :
😂😂we mjuaji
2026-09-01 18:22:26
6
msouth_dreamchaser
Dady_Msouth :
Sio peke yako bruh mm nikahc wa nje ya tz
2026-09-01 18:37:21
3
oscarfredyulomi
oscar :
tatizo ni kwamba tanzania tumezoea music wa mazoea hatutaki vitu tofauti ukifanya mzik tofaut hausikiki sasa LUOI ni tofauti na music wa tanzania na ndomaana uku hasikiki lakn njee anasikika kama tanzania tungempa nafas bas angekuwa mbali saaaanaaaaaah
2026-09-01 18:58:20
6
user3033769800379
rulobite :
Uyo jamaaaa ni fireeeee brooo
2026-09-01 17:55:23
2
bravado090
Bravado :
hajashindwa time bado tu
2026-09-01 18:28:24
3
kasese_0g
Kasese Msauzi :
kuna iyo inaiywa Kona
2026-09-01 18:28:36
3
unclebenny_12
Bensoul :
asingeondoka kwenye lebo ya Legacy record maybe... mikataba inawabana
2026-09-01 18:47:18
3
user9042325267433
yuzzz :
ndio ndio mama ake
2026-09-01 18:01:37
3
arnoldfmrema
Fyzo :
dah 😅
2026-09-01 18:18:37
3
user54094347462088
iverzon :
bro hyo jmn Hajaxhndwa aliamua kuacha tu... Je Kun jimmy chanda mbn watu wenginee wanaacha mziki tu
2026-09-01 17:57:14
3
kulwajrbumbuni
kulwajrbumbuni :
duuh
2026-09-01 17:11:12
0
abechedemaile
chedepimper :
sikilizeni. fine girl. 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-09-01 20:58:22
0
cairomars14
𝗖𝗮𝗶𝗿𝗼 𝗖𝗼𝗼𝗹 𝗠𝘂𝘀𝗶𝗰 :
Ana nyimbo mpya ni kali sana🔥🔥
2026-09-02 00:29:51
0
modekaikikoti
MODE FASHION TZ 🇹🇿 :
bukavu 😅😅
2026-09-01 21:16:06
0
don.carlo675
Big shaq :
Loui mkali
2026-09-01 21:27:57
0
allabout_019
@-Kian. :
huyo mwamba ni moto
2026-09-01 21:17:34
0
kbrandem
K_Brand EM006 :
kafanya kwel ila ndo tatzo la wabongo kusapotian mkuu ila n mkali wa Ving ujue jamaa alishawai kua dj
2026-09-01 18:23:46
0
To see more videos from user @mandoplus_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About