Leo znz miaka 65 haiwezi kucheza katika mashindano ya kimataifa kama CAF NA FIFA . Znz haiwezi kusajili ndege na huku znz kuna wizara ya mawasiliano haya mambo vipi
2026-09-01 18:27:59
1
ZFDC TV :
miaka 50 mmetuumiza
2026-09-01 19:44:23
2
Muyazakh Mohammeid :
kumbe mnayajuwa hayooo!!!
2026-09-01 18:21:49
1
Falcon 🇹🇿 :
nakubali mkuu
2026-09-01 19:26:39
1
T.S :
lwa mantiki hii kikwete aliunga mkono serikali 3
2026-09-01 20:04:16
1
user8722512466383 :
muungano haufai kwa mambo ayo
2026-09-01 19:10:48
1
Asha Khamisi :
Sasa watajua kama hawajui
2026-09-01 18:46:19
1
MBUYU :
Mama Samia Suluhu khassani wewe ndio utakaeiyokoa ZANZIBAR hujaiyokoa wewe ndio wakulsumiwa nafasi maridhawa tuliyoipata kwa ZANZIBAR ingawa Rais Samia upo mpaka 2035 kwa mujibu wa katiba
2026-09-01 20:44:21
1
user182170458 :
Unamaanisha Nini Unaposema Serekali Mbili Wakati Serekali Ipo Moja Na Ina Nchiyake Yaani Zanzibar Tanganyika Ukowapi Serekaliyake.
2026-09-01 17:30:35
1
HASANLY :
duh inaumiza kwakweli
2026-09-01 18:31:06
0
Sal :
4% tu ya Zanzibar imewatoa roho, halafu wanajidai sisi ndugu😳😳
2026-09-01 18:22:11
1
Salim Alnadaby🇴🇲 :
2026-09-01 20:23:30
0
Health Doctor :
Msanii
2026-09-01 20:17:50
0
Na2030 :
Yote 6 Rais SSH amesha yayeyusha kama barafu. Zanzibar sasa inanufaika kupindukia, sasa mainland wanataka Tanganyika yao!!!
2026-09-01 20:04:24
0
Tamsirat :
wamejisahau watanganyika wao wanajiwa saiv rais Samia katika Zanzibar hatumtaki ndio chuki zao tu
2026-09-01 19:50:27
0
hamza sansibar guide :
mama tafazal nyanyua vyot huko vilet zanzibar wao wanasahani ya wal sisi tunakibakul pia wanakitak mama Samia kaza kwel.hata 2030 zanzibar tuw na pesa kuliko Canada mzoa taka awe dili
2026-09-01 19:49:19
0
ABDI 23 ✌️ :
ila watu wing hawaelew nn kilizungumzwa hapa wanaropoka tu 😂
2026-09-01 21:00:50
0
bajanja74 :
weziiiii tu ila kitaeleweka tu mpaka zanzibar iwe huru
2026-09-01 19:23:13
0
octavian2476 :
Sasa hapo alikuwa anasema kama Rais wa Zanzibar au kama rais wa Tanzania maana kama alikuwa ipande wa Zanzibar ila huyu mzee acha tu
2026-09-01 19:12:39
1
Comfort Chain :
waacheni wajitawale
2026-09-01 19:11:15
0
Albert Likomawagi :
🥰🥰🥰
2026-09-01 19:11:15
0
To see more videos from user @zanzibar871, please go to the Tikwm
homepage.