@stuadventist: Tumeahidiwa mbingu mpya na nchi mpya Yesu atakaporudi. Hili ndilo tumaini tunalolishikilia katikati ya dunia yenye maumivu, machozi na changamoto nyingi. Yesu mwenyewe ameahidi kwamba atakapokuja, atayafanya mambo yote kuwa mapya. Leo tunakualika kushikilia tumaini hili na kumwamini Kristo. Haijalishi unapitia nini sasa, kuna kesho yenye matumaini ndani ya ahadi ya Mungu. “Tazama, nayafanya yote kuwa mapya” Ufunuo 21:5 #mamboyotemapya #tumainilinaanziahapa