@dr_daniel_md: ⚠️ Energy drink siyo tu kinywaji cha kukupa nguvu! Watu wengi hunywa energy drinks wakiamini zinawapa nguvu, kuongeza concentration au kuwasaidia kukaa macho. Lakini unajua kinachoweza kutokea mwilini unapozitumia mara kwa mara au kwa kiasi kikubwa? 👀 Kwenye video hii nimeeleza madhara 10 ambayo huenda hujawahi kuyafikiria—baadhi yanaweza kuhusisha moyo, usingizi, presha, sukari mwilini na afya yako kwa ujumla. 🔥 Usikimbilie kusema “mimi huwa nakunywa na sijawahi kupata tatizo”—kwa sababu kutokuhisi tatizo leo hakumaanishi hakuna kinachoendelea mwilini. 🎥 Tazama video mpaka mwisho, kisha jiulize: Energy drink ninayokunywa inanipa nguvu kweli, au ninakopa nguvu kutoka kesho? #EnergyDrink #Afya #AfyaBora #Lishe #Moyo
Energy drink Naziogopa na Sinto zisahau zilitaka kuniuwa Usingizini! Moyo ulisimama gafla na kushindwa kupumua vizuri na kupigwa na vichomi Moyoni kilicho nisaidia kwa wakati ule Yalikuwa ni maji, in short nilikuwa pekeangu nilikunywa maji mengi ndio ukaanza kupoa baada ya kwenda hospitali walinipa Madawa mengimengi tu, na wakanikataza nisitumie kabisa. Ni hatari, sana!!
2026-09-01 20:52:25
1
fighter :
hat ukipga moja per day hayo madhara unapata
2026-09-02 05:00:37
1
Shabani Khamiss :
naomba msaada kuhusu homa ya mifupa
2026-09-02 06:20:57
0
🅷🅴🅸🆂_🆃🅰🆈🅻🅾🆁😎 :
Mimi na Azam energy ni hv🤞😂
2026-09-01 21:40:48
2
Jamal Gaspar :
katika vitu ninavyo fikiri kwamba serikali inakosea sana nikuruhusu vitu vinavyozuru watu kuuzwa !
2026-09-02 05:02:55
0
soipeyrolekimaki :
6 ni uongo eti inaongeza uwezekano wa kupata ajali🤣🤣🤣
2026-09-02 02:20:30
1
Feisal Ramadhan :
unahalibu brand za watu kaka
2026-09-01 19:41:26
2
MUK_ALON :
ila Hiy no5 kwangu usingiz napat
2026-09-01 20:33:41
0
bajomba45 :
2tafutie juice ya kunywa bhc 2kiwa 2mechoka
2026-09-01 20:33:59
1
FEAZ :
Tusipangiane bhna 🤣🤣🤣
2026-09-01 19:34:20
1
To see more videos from user @dr_daniel_md, please go to the Tikwm
homepage.