@mr.elfasclassic: Hii post ilitolewa mwaka jana 2025 mwezi wa September, sasa naona matukio yaliyongelewa yanatokea moja baada jingine, hapa kiukweli tuzid I kumuomba Mungu, maana hii ni siyo nzuri kabisa kwa watanzania #siasatanzania #viral #tanzaniantiktok🇹🇿

Mr. Elfas Classic
Mr. Elfas Classic
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 18:01:51 GMT
98490
2835
79
213

Music

Download

Comments

philipogazika
Gazika :
sasa mama samia kushinda nao ni unabii🙈
2026-09-02 04:28:16
31
freedom4nt
☯︎ :
mungu saidia draft iishe😁
2026-09-02 05:26:19
7
don_mtatiro
Don :
ninavitu vingi vya kuombea ila sio hili taifa
2026-09-02 15:19:12
13
angelabuchu
Angela buchu :
tuombe kwenye kipengere kipiii jamani
2026-09-28 04:48:00
3
otsward4
otsward :
Mbona kama nasubiri kwa hamu
2026-09-02 04:19:11
20
elishytz
Elisha :
Msiba tayari (Ndugai), kiongozi ku resign(Nchimbi)
2026-09-02 09:41:11
6
wisdom.varden
wisdom varden :
aliiga uo utabiri alitabiri shekhe yahaya
2026-09-04 12:52:23
2
abigael.niku
abigael niku :
kumbe alishinda😂
2026-09-02 12:42:16
3
festoalson
Ƒҽʂէօ ąӀʂօղ🇹🇿 🇺🇲 :
unajua awa manabii uwa tunawazalau lakini wanacho ongea ni ukwel kabisa
2026-09-02 18:15:13
8
roseally8744
roseally8744 :
ila asiwe mchimbi tuu naomba Mungu jmnnn
2026-09-02 15:01:13
7
d7_family
D7 Family :
hapo ni kikwete
2026-09-02 17:02:56
5
givendennis
Marck :
Toa jawabu basi, kufa,kujiuzulu,kuzaliwa n.k nimaisha ya Kila siku🤔🤔🤔
2026-09-15 22:22:23
0
angelmraha
anger :
😅😂😂 tupo.kusubiriaa ila asiwe nimchimbi tu jaman
2026-09-02 14:48:25
6
shesrare41
𝔖𝔥𝔢'𝔰 ℜ𝔞𝔯𝔢✝️ :
si wafe wote watajua wenyewe
2026-09-03 04:46:38
3
user6662216177570
jumaOfficial tz :
sasa ccm kushinda ni unabii
2026-09-02 14:54:05
2
augustino.msangi
Augustino Msangi :
nikweli
2026-09-04 03:10:07
1
kefakihongo
kefakihongo :
hii ni ya mda tokea mwaka jana
2026-09-06 07:43:41
1
inocent.kavenuke
inocent kavenuke :
YATIMIE TU KAMA MUNGU AMEPANGA,
2026-09-03 20:49:32
1
mgiga8
Mr. Mgiga :
Mimi siwezi kuombea serikali iliyojiweka madarakani kwa kumwaga damu,Mungu hapendezwi na umwagaji wa damu
2026-09-03 08:51:47
8
walteroduor
user3560175388325 :
kwanini muombee nchi na ilhali mnajua shida mahali iko 😅
2026-09-03 19:49:50
1
user335212388769
Estomth33 🦾 :
lolote litokee
2026-09-03 11:51:53
1
ms.cash436
n.i.n.o :
msiba hio tayar au bado
2026-09-02 10:16:19
2
user3584009593362
hilder stylish :
kwahyo namba 6 haipooo🤣🤣🤣
2026-09-02 06:29:58
2
ibracountry_hip_ho
Ibracountry_Hip_Hop :
Unambiwa tuombee Nchi maana Raifa ni roho so Tumwombeeni sana Nchimbi Elewa cod💯💯💯😳
2026-09-02 22:45:21
1
neema.jonas10
Neema Jonas :
Mungu atulindie watu wetu muhimu ila kuna wale mungu tunaomba pita nao Amen
2026-09-03 10:58:10
2
To see more videos from user @mr.elfasclassic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About