13 Lakini yule malaika akamwambia, Usiogope, Zakaria, maana dua yako imesikiwa, na mkeo Elisabeti atakuzalia mtoto mwanamume, na jina lake utamwita Yohana.
Luka 1:13
14 Nawe utakuwa na furaha na shangwe, na watu wengi watakufurahia kuzaliwa kwake.
Luka 1:14
19 Malaika akamjibu akamwambia, Mimi ni Gabrieli, nisimamaye mbele za Mungu; nami nimetumwa niseme nawe, na kukupasha habari hizi njema.
Luka 1:19
Habari njemaa ziambatane na maisha yako.........
2026-09-01 19:41:49
5
nanjalahuveronica66220 :
Aimeen baba🙏🙏
2026-09-01 19:56:31
1
Ambwene 17 :
kwl kbs hata mm naulizaga ilo swali asipo nipa majibu ya kutosha baaaas
2026-09-01 18:51:45
2
Lucy :
amina baba
2026-09-01 19:56:45
1
Eliya Eliya :
sahhh mtumishi
2026-09-01 19:06:57
2
Happy Emmanuel :
mwakasege mimi nakubali kwanguvu zote
2026-09-01 21:22:01
1
vickybullason :
fact 💯
2026-09-01 19:38:14
1
Henry_hart :
Unaweza we sasa 😅😅
2026-09-01 22:18:55
0
Neema :
amen
2026-09-01 19:33:59
2
Irene Mollel :
Ameni
2026-09-01 19:53:19
1
furaha mrema marangu :
😂😂😂😂😂 Mungu akubariki poster
2026-09-01 20:38:31
1
user9581716525990 :
Amen Mwalimu
2026-09-01 19:52:40
1
lizzbety :
amina baba
2026-09-01 21:42:44
0
user2565467722402 :
amen
2026-09-01 18:13:24
1
AyoGtz🇹🇿 :
amen 🙏
2026-09-01 20:35:17
1
Tonga :
🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 21:14:06
1
asnati :
🙏
2026-09-01 19:05:22
1
Maua💞 :
😁😁
2026-09-01 20:15:43
1
user24024190945116 :
✅✅
2026-09-01 18:58:59
1
To see more videos from user @elia_anthony, please go to the Tikwm
homepage.