@amossyilivester821: Nimeshuhudia kitu cha kipekee, mwanajeshi akiwa peke yake, akitolea kazi bure kwa ajili ya nchi yake, na kuwa tayari kuilinda kwa kila namna. Hii inaonyesha uzalendo na kujitolea sana. Hali kama hii inahamasisha sana kuendelea kuthamini and kuhakikisha tunawaenzi hawa wahudumu wa ulinzi wetu. 🤫🫡#tz