kila mtu anarafiki yake ambae hata iweje hawezi kujali Wala kuogopa
2026-09-03 11:41:57
8
Faraja Mathias :
utafika mbali unakitu
2026-09-07 19:28:48
1
Pinne :
shekhe Abdul 🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 18:20:18
5
Enjoy dativa :
ila duli 🤣🤣🤣
2026-09-07 15:34:46
2
baba ake na salome :
kak unaijua kak big up Sana brother
2026-09-01 19:49:58
3
paulo hamisi :
bia tamu kak
2026-09-05 21:09:58
1
Dully 🤑 :
😂😂😂😂😂mwanangu stak upitweee we hayaaa
2026-09-02 15:21:40
2
franco😎 :
duli ni jj ephrahim😆😆😆
2026-09-02 03:19:57
5
Faustine Mafwele... :
duli tutakufatilia 🤣🤣🤣
2026-09-03 11:42:59
1
GammaRay :
baada ya kipindi
2026-09-01 20:45:15
1
Samattachapuga.jr⚽️ :
JJ EPHRAHIM 🎤
2026-09-03 05:43:28
1
Tom lee :
😂😂😂bas msikilizaj ngoja nijiondoe kidogo
2026-09-01 19:13:50
1
dina baby :
ila duli🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-07 20:28:28
1
Aibun Likote💕🦋 :
Yaan nmecheka kwa sauti usiku huu daaaah😂😂😂😂😂
2026-09-01 22:43:21
1
aloicy elia@2026 :
duli tusialibiane kazi
2026-09-01 18:21:31
1
Roddy kudenga :
🤣🤣🤣i'm first today
2026-09-01 18:18:21
1
Grayson Mhagama :
:Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-02 02:10:39
1
six :
nakubali sana
2026-09-21 19:09:07
0
kimpo. :
ila ww hata kukutetea ni kazi saana 😁😁
2026-09-19 05:06:58
0
izack swai :
2026-09-01 18:24:11
0
To see more videos from user @streetjournalisti, please go to the Tikwm
homepage.