@jeromesvault: Taulo from pinduoduo kwa gharama ya Tshs. 2,400/- . Ni nzuri sana kwa wale wanaoamua kufanya biashara. Agent ni shamwaa

Jerome's VAULT
Jerome's VAULT
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 18:22:01 GMT
34888
1129
73
178

Music

Download

Comments

vegaa2002
vegaa :
bro unaweza kufungua tuone ukubwa wa hizo towel please
2026-09-02 05:51:09
7
mjjuba8
mjjuba :
naomba link ya hizi taulo na cargo ulotumia kusafirisha
2026-09-01 18:30:23
2
bulidubdy
️ :
umesafirisha na ?
2026-09-02 17:54:55
0
aisher.6
aisher.6 :
Niungeee kwa group
2026-09-02 03:29:59
0
chiefazu
chiefazu :
You’re really good at this bro..
2026-09-01 21:56:58
0
self.i51
self &I 🌹🇹🇿 :
saiv kila niki scroll ni pindoudou na kila mtu anataka tulipe ndo tufundishwe c atokee mtu awe tu anaagiza alaf anatuuzia kwa bei ya juu kidogoo maana sio kwa bei chee hzo
2026-09-05 12:21:25
0
devinecosmetics7
Devine Cosmetics Dodoma :
Bwana jobs habari za siku nyingi??
2026-09-04 17:59:24
0
smecollection
SME COLLECTION :
Hiyo pinduoduo mbona haifunguki
2026-09-02 18:40:13
0
romanticcode
romantic :
hizo ni taulo au vitambaaaa 😁
2026-09-03 16:43:38
0
petrus.sera
Petrus.sera :
kaka iyo app haipo play store
2026-09-01 19:15:40
0
carlighttz
car light :
kaka meli unatumia kampuni gani la usafirishaji na ni sikungapi
2026-09-01 18:30:40
0
mahadhi_99
mahadhi99 :
Address za shamwaa unazipataa wapi
2026-09-01 18:52:01
1
lary_chaz
Bicycle_4life :
mafunzo kaka
2026-09-02 08:02:10
0
mr_lonely017
𝓶𝓻 𝓵𝓸𝓷𝓮𝓵𝔂 :
unaweza tag akaunti yao hao shamwaa ili iwe rahisi kuwasiliana nao
2026-09-02 18:46:23
0
masijojgrpg
johndoe :
Karne ya 21 tena tunapeana mafunzo ya vitu viko one click away aisee
2026-09-01 20:39:51
0
user997525347630
aicha :
Habari kaka naomba mafunzo
2026-09-02 03:49:03
0
mjjuba8
mjjuba :
nataka kama hivi nimpe mtu zawadi
2026-09-01 18:29:27
0
mjjuba8
mjjuba :
nifanye gift Kwa mti
2026-09-01 18:30:41
0
domperfume
Domperfume _cosmetics :
Na mbona inakuja ya kuchina jaman
2026-09-05 11:41:39
0
cerah_perfume
perfumeroomtz :
Naomba box hizo boss
2026-09-02 14:11:55
0
phoneaccessories61
PHONE ACCESSORIES 📞🛍️ :
Naombaaaa Mafunzo
2026-09-03 11:09:37
0
laventa.john
Laventa John :
nakupataje
2026-09-03 05:11:52
0
janellyjojo
JOVERA LUXURY HAIR🩷 :
Kwangu lugha haibadilika
2026-09-02 17:42:19
0
scholastica.john8
Scholastica John :
m mbn si ipat
2026-09-05 05:44:04
0
thani5066
thani :
zifungue tuzione
2026-09-01 21:59:29
0
To see more videos from user @jeromesvault, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About