MTU AKILIPIA MC ANAMPATA MUIMBAJI NA ANAPATA SHEIKH KWA HELA HIYO HIYO BAHATI ILIYOJE MTAALAMU WA HIZI KAZI COMPLETE MC🙌👑
2026-09-01 19:25:53
59
sahamo :
mashaallaha
2026-09-03 10:17:46
0
Soki :
Nchi gani hii?
2026-09-02 07:30:04
5
abubakari pachaka :
jina la qaswida jamn
2026-09-02 07:21:41
1
abdul_ghulaam :
umepata Bila shida
2026-09-01 20:09:15
9
MOMJASAR✨️💓 :
msindo family tunakusubiri jmos uje kutufanyia maajabu niliyoyakosa mm mwaka jana kaka 🥰🥰Mc pendwa wa familia,shekhe pendwa wa familia na muimbaji bora wa familia 🥰🙌
2026-09-01 20:47:44
5
amad said :
mashaalah tabarakkalah, nitakualikeni harusini Kwangu Kenya inshaalah, ❤️🥰
2026-09-02 11:45:25
3
Hadear 🌹diy :
mashallah unapend unavyo fanya shuhuli iwe nzur na ya heshima
2026-09-02 05:04:00
7
HASIM TERO :
jina la qaswida
2026-09-03 03:34:59
0
Maymur_19 :
tutakusajili kaka
2026-09-02 07:18:27
0
husseinmiladu :
Wewe ni kaka yetu na Kwa hakika tunafurahi tunapokutana nawewe kazini