@kaswidanasheed: #saudiarabia🇸🇦 #zambiantiktok🇿🇲 #indian #tanzaniantiktok🇹🇿 @ADAMMAPIKIPIKI ORG🏍️🏍️

kaswida & nasheed🤲🕋
kaswida & nasheed🤲🕋
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 19:27:40 GMT
69696
6541
191
248

Music

Download

Comments

saidali231
El _mindhry :
name please
2026-09-02 04:13:39
1
islamkhatibu
Islam :
kipindi hich natia huruma milangon kw watu ila zaman
2026-09-02 09:34:56
39
tumapink1
Fatma🥰💟🩷🩷 :
walahi imenitoa machozi nimemkumbuka marehem mamaangu Allah amjalie pepo ya jannatu firdausi
2026-09-02 08:09:16
105
nasra85757
Nasra~ :
niliisikiliza sana kwenye cm yamama enz izo 🥰kuna ile fassu fuad ndio balaa
2026-09-02 03:57:28
34
madinaramadhan735
@mmr7668 :
wow nice one🥰 i remember past events
2026-09-02 11:51:27
1
yahya_gedo
YAHYA G€DO` :
Maasha'Allah kitambo sana watoto wa 2004 hawawez elewa
2026-09-02 05:07:57
17
dhinurainzidikheri
Mrs. ally :
mashallah tunaomba full pls🙏
2026-09-02 06:45:07
1
habibty2548
J. Kamamy ❤️ :
Tunaomba full plz 🙏
2026-09-02 05:54:13
3
user7959074542255
hb_jimmy :
post full please
2026-09-02 05:08:20
1
user8371825186098
user8371825186098 :
inahusu madhara ya kuipenda dunia sana😭😭😭
2026-09-01 21:51:04
9
lee_queen98l
Lee_Queen👑 :
😂Ah na kinara nikacheza 😆😆😆 saiz nna watt 7
2026-09-01 22:45:02
5
mgude5743
ABDUL :
kuna moja inaimbwa ya ramadhan ya ramadhan sijui shauru taubat ya ramadhan naitafuta ila sijawahi ipata
2026-09-02 18:24:55
2
momiemulheart
Momie Mulheart🌺 :
imenikumbusha Enzi hzo 2009 Kirinjiko Islamic ndo zlkuwa kaswida zetu ,, Tukienda tour njian kwa gar n full kaswida hz🥰🥰
2026-09-02 07:24:17
5
mamy.asya4
mamy asya🌹 :
inanikumbusha mbali nilivo kuwa mdogo nilichenza kinara chuoni ila zamani raha bwana natamani siku zirudi nyuma 😔
2026-09-02 11:26:23
5
user5380412436239
M0lly. 026 :
Ila bongo Kila m2 ndio itakua favorite song 🤣
2026-09-02 03:55:12
6
mariam.athman67
Mariam Athman :
kitambo sana jmn watt wetu hawajui hizi
2026-09-02 15:49:41
1
abdulygucci_tz
abdulygucci_tz :
Kuna ile asshadukum nashidal islamic
2026-09-02 09:52:36
1
user7910436821693
warya🥰🌹 :
wal hat sis wa 2006 tunazijua ni kuw mpenz tu wa nasheed utazijua tu
2026-09-02 10:45:14
1
script.kiddie12
script kiddie :
hapo tunalingishiana na jamaangu kuhifadh kaswida Nana mkali 🥰😁
2026-09-02 20:56:43
1
nuratth3
🦋 pretty nuu :
ilaitwaje jmn
2026-09-02 14:42:09
0
fajshaa6
fajshaa :
hahahha kumbe ni thalathatu 😂mimi nikiimba swaalatatu😂😅
2026-09-02 09:11:41
5
sayyidat.kassiba
sayyidatkassiba :
🥰🥰🥰kaswida yangu iyo
2026-09-01 19:36:42
3
dyja.kombo64
Dyja Kombo64 :
Me. nawenzang tulicheza kinara. qaswda hii. nikwa darsa la tatu kam sikosei na naijua hii qaswda. yote. hadi leo
2026-09-02 06:24:27
3
To see more videos from user @kaswidanasheed, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About