@gomsimabegan: #NJOOGOMSUTEMBEEE #gomsmabegan #GOMSTRENDING #GOMSICON

GOMSI_TRENDING👑👑
GOMSI_TRENDING👑👑
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 19:37:50 GMT
14983
742
143
11

Music

Download

Comments

decent816
Malaika777🇹🇿🇹🇿 :
ww yaliazanza tangu saa 12 lkn tulichelewa kupata taarifa ilipofika saa2 usiku sasa tumemaliza kula ndo tukaanza hekaheka za Rihadha sasa 🙌🙌🙌 ule usiku ni mungu tuuu ndi alitusaidia mpk kufikia siku yaleo
2026-09-01 22:21:53
8
lovenessphilimon8
Loveness Philimon :
nakumbuka adi tarehe ilikua tarehe 16 .2.2011 siku ya jumatano mabomu yalianza saa 2 usiku iyo siku ilikua siku ya maulid atukwenda shule yaan ilikua atariii
2026-09-01 20:13:34
26
rashid_tz4
Rashid_tz :
ilikuwa 16 _2_2012
2026-09-02 02:19:50
2
rey_collection2
🌸🤍 :
ni 2012 bhn
2026-09-02 07:53:57
1
bby.sabi6
b@by sabi💞💕💞⚡ :
daah nakumbuka nilikua darasa la kwanza 😂 jaman
2026-09-02 05:08:58
3
bossladymariam7
Boss_lady_Mariam :
nakumbuka mama alinibeba nilikuw darasa la kwanza yan dah😅
2026-09-02 01:28:35
3
pink.mellow6
Pink mellow :
Ayo mabomu Nani aliyeyalipua maan mm nilikua chekechea sielewi chochote 😌
2026-09-02 05:03:15
1
leila.wa.mshamu
leila mkali💕 :
usinikumbushe 😭 mwezio nilikia nikiwa uchi nilitoka kuoga nimevaa kanga moja mimi siwezi kusaau🙌
2026-09-01 21:20:21
1
wajobek.mlawa
Wajobek mlawa 🦍 :
wa Goms we ulikua wapi mwaka huo?
2026-09-02 08:05:07
1
denisphilimon52
denisphilimon :
we acha tu
2026-09-01 19:42:00
1
user3545806127985
napcha the queen :
Dah nakumbuka nlibuluzwa kama paka dah😭😭
2026-09-02 05:45:40
0
nino.168
Nino Machupa :
Jamani sitaki nikumbuke hii siku nilitoka ukonga hadi tabata kwa mguu😭😭😭😭😭😭
2026-09-01 22:54:52
0
mis_peninah
Mis_peninah🌹 :
Nakumbuka nlikua darasa la kwanza nilikimbia bila wazazi wangu ata ckuelewa naenda wapi ,mpaka nkashndwa kutembea na kusimama ,Namshukuru Mungu mpaka Leo Niko hai na afya njema🙏🙏
2026-09-01 21:36:57
1
roselissah
rose🌹🌹🌹 :
Do acha tu ile siku🥺
2026-09-01 22:39:57
0
centralqueen5
centralqueen5 :
Sitasahau jirani yangu alibeba bata badala yas kubeba mtoto 🏃‍➡️🏃‍➡️🙌
2026-09-02 04:05:12
2
shaibu_ys
shaibu_ys :
The moment haya mabomu yanatokea nilikua kwa Aunt yangu Manzese and huyo Aunt alikua na mdogo ake anakaa Gomz means Aunt yangu pia…. Yule Aunt na wanae walifika Manzese kwa mguu ile wanafika vilio vikaanza… mind you, hawajafiwa ila tuu ile moment ya kupokeana wakiwa wazima 😰 walikua wamechoka sio poa…
2026-09-02 02:43:38
2
jescadavid115
Am Jessica 🍀 :
nilikimbia kutoka Kinyerezi Mapka kimara korogwe kurud sasa ikawa kasheshe 😁
2026-09-02 06:01:47
1
user3545806127985
napcha the queen :
Sitosahau wallah nlikuw bado mdogo lakn nakumbuka ad leo😅
2026-09-02 05:46:41
1
user90shantalee
Shantale beauty :
tulikimbia kutoka goms tumejikita tumefika chamazi mbagala saa tisa usiku yaan sitosahau
2026-09-01 22:01:21
1
user4338572590601
🍁𝓽𝓮𝓮 𝓬𝓱𝓸𝓲𝓬𝓮🦋 :
daaa kitambo
2026-09-01 19:55:25
1
user7186399579817meme
Shuu ❤️❤️ :
nakumbuka baba yangu alilewa iyo siku akatuambia akuna kukimbia ila likipita juu yeye anakimbilia chooni jmn ila siku ile kila mtyu aliijua dini kwa kusali jmn usikie tyu usiombe ya kukute🤣🤣🤣
2026-09-01 20:57:54
1
seif_echo034
seif-034 :
adui mkubwa usiku huo ilikuw ukionekana na simu ipo on au unapiga simu
2026-09-03 08:16:06
0
idh_end
🦋Id@h🦋Endrick🤴 :
mmh🙌
2026-09-02 22:14:02
0
user13206962920512
@sajda-tz :
acheni ibaaki kua history jmn mtu unakimbia na ujui unaenda wp 😁
2026-09-03 07:19:02
0
To see more videos from user @gomsimabegan, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About