@siasatz: 1985 Hayati Ali Hassan Mwinyi anamteua Ndugu Joseph Sinde Warioba kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kijana kutoka Bunda Mkoani Mara ambae ni zao la Tabora Boys, mhitimu sheria Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam na The Hague Academy of International Law cha nchini Uholanzi #SiasaTZ #SiasaZetu #TheShepherd30
sasa kageuka anaipiga spana serikali na anatoa siri za serikali
2026-09-01 20:16:56
2
Recho Goda :
jamani mzee Ruksa Allah akuraham
2026-09-01 19:59:38
1
GASPER KISINZA :
Kumbe ndo Mana ni MKWELI HUYU BABA
2026-09-01 21:10:55
0
Ally Mhando :
ila tumetoka mbali na mhuri wa ikulu hapohapo
2026-09-01 20:51:10
0
MULLA PAJE :
Hapa hawasemi kitu yani kimya sana kama hawajui kitu daaa! yani Rais mtanganyika, makamu mtanganyika waziri mkuu huyu huyu 😂😂wapo kimya kama hawapo vile ila mtaelewa tu
2026-09-01 20:55:28
0
samlion :
hakutetemeka
2026-09-01 20:18:09
0
Gabriel PolePole :
"foundations" () )(
2026-09-01 23:33:04
0
Nassoro Mkwanje :
Eti siratoa siri mbn Leo unabwsbwaja tu
2026-09-01 21:12:09
0
Notorious :
anaemdharau mzee wayroba anapaswa kujua ndiye kiongozi wa kwanza kushika hizo nyadhifa mbili kwa wakati mmoja kwa miaka mi5 haijawahi kutokea tena
2026-09-02 01:14:41
0
To see more videos from user @siasatz, please go to the Tikwm
homepage.