@boshenseneta: Hip-hop stuff kanda mbovu #saa4 #sku4# mwanzo mwisho and @efmtanzania @VINA_MEZANI๐น๐ฟ @Wasafi Media @Clouds Media @CROWN MEDIA @East Africa Radio
MIaka ya mwanzoni mwa themanini wakati huo Gurumo na Bitchuka wapo sikinde.Msondo ilihanikizwq na Moshi na Suleiman Mbwembwe na Joseph Lusungu ktk uimbaji.Wema umeniponza ni 2imbo uliotoka.pamoja na KIKULACHO.Mlimqni waliujibu wimbo huo kwa kibao POLE MZEE.Wajitangazia umtenda mema mengi kujisikia ya uongo.Watoto wamekimbia nyumbani umebaki na wajukuu nao watasambaa.Waimbaji wa sikinde walikuwa dede. gurumo bitchuka na khamis juma