amna pastor nime miss sana mahubil yako maan yana ukweli ndani yake
2026-09-02 17:30:26
2
KingJoh! :
wakina Kessy wako na neema ya kiutumishi
2026-09-02 08:53:23
0
Eliaichi Maro :
Amina mtumishi
2026-09-02 17:50:05
0
paulomahela :
samahani mtumishi kwenye maisha huwezi kuwa na hela kila siku kama sina mke wangu akanunua chakulasikuhiyo kwani kuna shida ....analienina vitu vyakuongea bhana
2026-09-02 10:18:34
0
Goodluck simbo Uroki :
Mchungaji wangu %%%%%%%
2026-09-02 17:57:13
0
LADY💫🎓 :
MCHUNGAJI WANGU PENDWA
2026-09-02 14:41:32
0
Doris Shoo :
Amina 🙏
2026-09-02 14:34:59
0
Dotto Nasari :
Atari na siyo kidgo baba barikiwa
2026-09-03 09:37:53
0
rachaelchacha728 :
Yani tena hata hahoji ilipotoka et
2026-09-02 18:05:59
0
Esther jeremiah Magembe :
"Baba wasamehe hawajui watendalo".Mungu akutunze mch wangu 2013 when i was at S'wanga town.
2026-09-10 19:59:11
0
Quiler :
Baba umeongea wakwangu aliondoka miaka nane nakuniachia watoto karurudi kakuta nimejenga na hela yake imekua yakunywa tu