kibweni nilitoka salama hapo mwez wa 8 Alhamdulilah
2026-09-02 09:06:29
10
Chalamomo🧸💕…. :
Hongera mamaa🥰🥰
2026-09-02 07:00:36
2
Baby_Naa :
hongera sana🥰🥰
2026-09-01 20:35:01
1
🦋Rais wa masingin ♥️ :
pole haya mom🥰🥹♥️
2026-09-03 17:33:30
0
Milan :
nashkuru kika kitu kinaenda kw riski .kibweni 28 meez 5 2025 madaktar walinipambania maish yng mm na mwanang kw njia y upreshen walihangaika kunitaftia damu chupa 7 benki y dam Aman ili wanisaidie mm na mwanangu ila mungu alimpenda sana mwanangu.congratulation KM KM madaktar
2026-09-02 11:19:34
7
Mrs....♥️✨️🔏 :
hii spital gan kipnz na mie natak niende kumuomba mung
2026-09-02 06:24:45
1
Talha mamy :
Wanaruhus kurekodi ee
2026-09-02 12:01:07
1
cute_luu ♥️🌹 :
Honger kpnz🥹🫂🙏🏻
2026-09-02 17:00:58
0
Morry chiomah🦋🥀 :
allhamdullilah komoh 😊
subrah nia njema ❤️🥹🤲
2026-09-02 10:15:52
1
🥰kichala :
ndo ukubwa uwo mamy
2026-09-01 20:14:28
4
fadya🦋 zuberi :
hongera allh amkuze inshllh
2026-09-01 20:16:05
3
mikh___zam0 :
Mwanang nae kazaa 😂🥰
2026-09-02 15:06:17
0
سعادة💞 :
Honger kipenz🥰
2026-09-02 10:33:51
0
💜BARKE DIVAR🍯💜🧕 :
mashaalah mdog wng🥰
2026-09-02 06:10:40
0
Basmalah fashion :
Allah akufunguwe salama lalimin inshaallah akufanyiwe na wepes juuu inshaallah
2026-09-02 05:16:20
0
MIRIE 🦋🦋🦋 :
Mi nilikua Nimekaa tu Kama akili azipo Naangalia watu tu 😂😂😂
2026-09-03 07:40:08
0
Karim sule :
inshaallah akija kidume mpe jina langu🙏😁😁
2026-09-03 16:01:21
0
dabri :
shemj wetu huy aw
2026-09-02 06:55:42
0
Barbie naryan :
mung akuepush n husda✌️
2026-09-01 20:06:37
1
Happy 🦋🥰 :
Ongera mrembo🥰
2026-09-02 08:59:02
1
dabri :
mbn wanchk
2026-09-02 08:39:17
1
ruhamaha :
Napakumbuka mwez wa 12 kam juz t😂
2026-09-07 08:48:01
0
thureya Rashid :
hongera kipnz
2026-09-07 11:45:19
0
angel🦋 :
mashallah kipenzi allh akupe wepes
2026-09-04 09:27:52
0
mamy ruumiy :
Honger kpnx
2026-09-02 09:05:54
0
To see more videos from user @mrs.komoh, please go to the Tikwm
homepage.