@malkia_storetz:

Malkia_store🛍️🎀
Malkia_store🛍️🎀
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 19:49:18 GMT
239824
7809
603
1144

Music

Download

Comments

tanty0876
➿țãñťÿ :
Ila Huyu kaka anazarau jmn 😂😂💔mim siwez kujishusha hv jmn
2026-09-02 07:20:43
288
mourinemushi
chugah barbie🤟❣️ :
dem wa uyu jamaa kazi anayooo🙌🙌
2026-09-02 12:34:00
189
user9826167690843
yusra Musa omari :
me naye kujishusha hivi kwa mwanaume siwezi 🤣🤣🤣
2026-09-02 05:32:30
162
itsannie804
it'sannie😍 :
shurey ajui huyu hii nafasi ningeipata mm wallah ningesema me mkewe😂😂😂😂😂😂
2026-09-01 20:14:18
148
mamu8341
Mamu🥰 :
yan ww kaka wallec unawapndsh tu kin shuley cc aah[Tears of joy][Tears of joy]
2026-09-15 10:25:17
1
user2769082476879
babygirl happy 💗💗 :
aliyeona hii live kama mim tujuane
2026-09-01 21:33:13
72
anithaadolf
anithaadolf :
Kwan live inakuwaga ni sangapi jmn😂😂😂
2026-09-08 12:57:10
8
beatriceantony309
cute B :
kazuri kenyewe niambieni Yuko mkoa gani bax
2026-09-01 21:07:44
52
lizapretty505
🧚‍♀️lizapretty@505🧚‍♂️ :
LANGO LAAAANGOOOO LA MBINGUNI LI WAZIIIIIIIIIII AMENI 🥰
2026-09-04 13:18:42
37
missleilara
Da leisah💫🌿🦋 :
heee sasa iyo coment yangu apo yanin😂
2026-09-01 21:22:09
23
kajar2cute
🎀Kajar2 cute🧚 :
ningepew mimi nahis hyoo mdada angelia😁😅😅
2026-09-03 09:00:02
12
lucygwasma8
Lucy Gwasma :
jamani wadada mnatuzalilisha sana
2026-09-08 13:49:44
6
murhat09
🤗🤲 :
wabongo wape mwanzo tu😂😂
2026-09-02 08:07:52
11
abbybreezy6
Abbybreezy :
wagombanishe tu kaka
2026-09-01 21:19:07
49
miss.lilian174
doreen.daniel75 :
Khaaa kweli wanawake tunajidharirisha Duuh
2026-09-02 20:51:06
10
nailaalphat5
Nairath Alphath🩷🩵 :
mm labda sio mheheeeee jmn😂
2026-09-02 16:23:07
11
janethdanford7
Janet🦚 :
M sijaona wanachoangaika nacho kwakwel
2026-09-05 21:57:20
10
user61002381277011
Winifrda steven :
Mm cwezag kugombania mwanaume jaman kwan nina shda gan au mm c mwanamke kamili
2026-09-02 06:41:20
20
angelkakwez
angelbell🫱🏾‍🫲🏼 :
KHAA JAMANI IFIKE MAHALI WADADA TUZINDUKE 🙌🏽🙌🏽
2026-09-06 21:44:02
10
annie69812
annie🦋💝 :
kumbe huwa anaongea
2026-09-02 05:18:32
50
amani.madj
Jasmine kassim :
mbn mm sipati wa kumtaka bebi wang ili tugombane😂😂😂😂
2026-09-04 13:32:42
6
__.mail0kaya
𝒂𝒄𝒉𝒂𝒍𝒖𝒈𝒐💋🐩 :
Sijaelewa ngojeni kwanza😂huy kaka kampigia dem wake aongee na watu wa live au😂
2026-09-03 13:54:05
15
mider003
Balqis🧸🦋💙 :
Alaf mnabadili profile mkitoka live😂😂
2026-09-08 19:15:38
6
mamisibosslady6
boss lady :
anaona ŕaha wanavyogombana wadada tupendane mda mwingne wakaka washatuona wadhaifu sana
2026-09-02 09:26:23
12
user8273869749003
nurul-ain :
😅😅😅😅mbna mtadhalilika sana mwaka huu
2026-09-03 14:57:52
9
To see more videos from user @malkia_storetz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About