@salmasaid_znzyetu: BI HADIA

Salma Said
Salma Said
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 19:50:44 GMT
18259
634
37
36

Music

Download

Comments

abouayman197908
DR. JUMA OMAR :
mama hata sisi hatutaki kuzalisha mama zetu lakin kwenye dharura na kuokoa maisha hatuchagui wakumzalisha.
2026-09-02 04:24:37
14
user1593283979908
mimah :
bora wanaume wanaimani nahawatuchambi😊😊
2026-09-02 06:02:43
9
kimwinyi.fabric
Kimwinyi Fabric :
Mashaallah Mama yangu mzazi najivunia kua na mama bora Allah awajaalie wazaz wetu kher na barka awajaalie afya njema awape maisha mema na awaruzuku mwisho mwema Aamin 🤲
2026-09-02 03:52:40
11
user7999462878555
user7999462878555 :
Bora wanaume wanaimani km wanawake
2026-09-02 07:29:36
4
bafoum
LORGAN :
Yaani watu wamechoka kupekuliwa mpaka wanasema ssa kwani wanaume munawafanya nni mama zetu
2026-09-02 08:14:59
0
mama.muu7
Mama Muu :
nakubali nikweli hiyo
2026-09-02 09:15:33
1
user9266118709269
user9266118709269 :
mama hayo yapo tokea engine za ukoloni si hap kwetu dunia nzima. ..sw ishalla.
2026-09-02 05:00:21
2
simba.fans859
SIMBA FANS :
ALLAH AKUPE UMRI MREFU NA WENYE MANUFAA KWAKO MAMA YANGU KIPENZ🥰🥰🥰
2026-09-02 07:00:51
3
m.harakati
Hip hop harakati :
Wansoma?🔥🔥🔥
2026-09-01 22:45:36
2
zuwena263
ilmia :
sahihi tunakata watuzalishe wanawake wenzetu
2026-09-02 03:00:55
3
user2697137963210
Makamo wa Raisi :
vzr serekali italifanyiya kazi
2026-09-02 07:23:17
1
mzeejuma978
Shankar :
Hadia Ali Hamisi
2026-09-02 06:06:40
1
mariamally4244
Nassor Muhsin :
Safi sana mom respect you love you more umenena vyema Allah atakulipa kwa ulivyonena.
2026-09-02 07:08:10
0
user3932039101072
nasra💓 :
umetuwakilisha mama 🥰
2026-09-02 12:48:07
0
hadia1816
hadia :
wajina B Hadia
2026-09-02 16:29:38
0
user399272506124
wawesha 11 :
fact
2026-09-02 11:41:11
0
biubwa.aljahadhmy
Biubwa Aljahadhmy :
sawa sawa kabisa dada .mie ni nurse midwife miyaka ya nyuma pemba na unguja ilikuwa hakuna kuzalishwa na mwanamme lkn miyaka hii ndio naona yameanza mambo hayo
2026-09-02 04:58:38
1
saadeamour35
saadeamour35 :
Ameen Allahuma Ameen
2026-09-02 04:28:25
0
abdallahmamu0
abdallahmamu0 :
Hakika
2026-09-02 07:16:36
0
mrs.aly67
Mrs aly :
mm bora wanaume walah
2026-09-02 06:12:11
0
dumfries360
Dumfries🍀🍀🍁🍁 :
pemba yetuuu
2026-09-02 08:40:13
0
user668483298874
salfat :
ndio mama nakubali
2026-09-02 12:54:51
0
taliban1303
taliban :
mungu akuweke mama
2026-09-02 09:17:32
0
chibna.mabeluu
football ⚽️ :
sahihi
2026-09-02 05:57:26
0
To see more videos from user @salmasaid_znzyetu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About