@hiphop_neverdie73: AMINI WANAUME NAMBA ZINAPUNGUA SANA WANANGU.. NIPO MSTARI WA MBELE NA KALAPINA KATIKA HARAKATI ZA KUKATAA USENGE SO 'KATAA MACHOKO ✊ ' | USIPOCOMMENT AU KU'LIKE BHASI NA WEWE CHOKO : #viralvideo #trendingvideo #viraltiktok #viral_video #tiktokviral
mbishi yupo sawa tu ki mc labda kuongea kwenye audience ila point is alright niccar don't gases homie
2026-09-03 07:56:01
0
pollo_tattootz :
Real sense, yeah for real!
2026-09-02 04:20:28
0
Gaitan Komredy Kipepe :
nabii koko sema sio kila kitu kubishana mkuu kwan kosa la Niki ni lipi ? anasapot unachofanya na anakuunga mkono Kwa asilimia mia alichotoa ni ushauri tu so kufuata ni hiar yako
2026-09-01 21:49:17
13
babamilfaty :
nimejifunza kitu hapa kuna time unaweza kua kwenye shida na mtu kisa tafsiri.
2026-09-02 04:25:27
7
sinta :
ajaongea vibaya Nikki mbishi bwana kaka pina
2026-09-01 21:28:20
6
user3082099477722 :
hip hop bila madawa iliwezekana na hii itawezekana
2026-09-02 03:21:32
1
champion🇹🇿santana598 :
hip-hop bila madawa inawezekana nakubali sana kaka NABII KOKO
2026-09-02 06:51:31
1
abdull kadr :
A ila big kamaind alivoambiwa kikosi gani kina mtu mmoja na mchz. Kazngua mwisho ety y nabii aongee na papa hahhhhhh HIP HOP
2026-09-02 12:22:01
1
Jax Boy :
Safi sanaaa kaka Koko
2026-09-02 05:37:55
0
alif mamdud :
sawa sawa kaka mkubwa
2026-09-02 03:15:44
0
mutant__9 :
chukua ushauri
2026-09-01 21:31:39
3
@Am denlson🇹🇿 :
😂Nilijua lazima comeback ije😂😂😂
2026-09-02 06:18:37
1
HertiZonTz :
kweli kaka karapina
2026-09-01 21:56:43
0
Ayam P :
Nabii Koko 🔥
2026-09-02 13:13:28
1
Amad Gwamaka :
KAKA mkubwa hiyo ya nikkimbishi cjaiona unaweza hileta hapa tuionee
2026-09-02 06:13:41
1
Mzawa :
Nikki hajakosea
2026-09-03 08:49:32
0
Sisu trainer :
Nikki yupo sahihi
2026-09-02 10:00:29
1
Steve vita :
nick kakosea wapi apo bro
tunawakubali ote atupendi kuona mnagombana
2026-09-02 15:37:42
0
omary.nyangasa :
mzee nabii koko
2026-09-02 19:14:01
0
Montana N@tion Tz :
kabisaaaa kaka uwaa kabisaa
2026-09-02 19:05:15
0
benga kezzy :
nabii koko
2026-09-03 09:50:19
0
user8763323540435 :
mm nimemuelewa kalapina misimamo ndio inatakiwa yy nikki alitakiwa akaushe . Brand ya kinabii inabidi iheshimiwe
2026-09-03 07:03:13
0
alifaali ali :
alafu nikki kaa mbali n kalapina iyo ni namba sio poa atq kama ulimrekebisha kwa kauli. njema...lakini sio kwa pina...rekebisha kina nikki wa pilli na joh makin....lakin kwa pina bro kaa mbali bila ivo itakua kama chid benz n pina
2026-09-02 20:39:14
0
alifaali ali :
wabongo elewenii siwatu wote wanamaind kurekebishwa siwatu wote wanamaind kutandiwa story zao kama cjakusea kalapina hamaind kurekebishwa n nikki bora ata mtu mwengine angemrekebisha sio nikki mbishi
2026-09-02 20:35:47
0
To see more videos from user @hiphop_neverdie73, please go to the Tikwm
homepage.