Kanikumbusha Mbali enzi zangu Jmn elimu bila malipo oyeeee🥰😁
2026-09-02 15:51:30
20
Masoud Juma :
Natural voice.... good performance 👏 wow
2026-09-03 16:00:36
1
𝑺𝒘𝒂𝒉𝒊𝒇𝒂𝒂𝒃𝒅 ᥫ᭡ :
Nilişmba kma ivi nilipokua mkubwa sayti ikadessapeae😂😂😂😂😂
2026-09-03 13:28:18
5
Makhsuus :
hiii ni hellllaaa
2026-09-03 09:07:10
1
Kemal💥 :
Mashallah.. daah watoto wanasoma vizuri mnooo yaan hadi mwili unasisimka vipaji Mashallah hasbunallah.. mola awalinde na awahifadhi na awape nyonyo za elimu na ubongo wa kumbukumbu maarifa na akili zaidi na zaidi... Mashallah mungu awape mafanikio kwa kila hatua kwa kila kitu.. Allahumma Aamiin 🤲🤲🙏
2026-09-03 07:21:53
6
Samiry Afrah :
masha Allah chanjaani skuli uliopo njia ya Pujin au kiwan
2026-09-02 20:39:21
5
Suleiman :
Alokaa ukutani uko ndo fundi sana yupo vzr kwenye kuicontrol saut mahadhi magumu sana but wapo vzr mashallah
2026-09-03 04:22:38
8
jafarmohd017 :
mashaaaaallah wanafunzi wa mwalim beka
2026-09-03 08:44:16
0
summy :
mashallah enzi zangu
2026-09-02 15:48:48
0
Nassirnasco :
Mashallaaaaah 🤣
2026-09-02 18:25:04
0
Da Sau💞 :
🥰 mashallah 💞
2026-09-02 18:13:53
0
Da emmy🥰🌹 :
Chanjaani njiapujin🥰
2026-09-03 17:49:01
0
miss lunar♐🔥 :
huy wapili ana sauti mashallah mpak nimesisimka🥰😊
2026-09-04 15:09:08
0
mpemba_ai :
Maa Shaa Allah Vipaji Vya Pemba Yetu
2026-09-04 10:29:06
0
05 :
tutawaikifikai inshaa Allah
2026-09-02 19:34:56
0
To see more videos from user @chanjaani.primary, please go to the Tikwm
homepage.