remember the yellow one with calender used to be our suitcase 😂😂😂😂
2026-09-02 16:26:42
7
4Js interior :
izo ndo bag niya nini
2026-09-02 14:57:24
0
Meshaack :
kuna hizi zingine zilikua na calender side moja,they really helped me those days🤣🤣
2026-09-02 05:01:26
10
Scholar shee :
N za yellow and green with calendar one side 😂
2026-09-02 19:00:38
1
jovanah :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 old is gold
2026-09-02 18:45:11
1
Timothy chanzu :
broo mko na jwala ya uchumi nyinyi ni matajiri sana 😂😂😂 but anyway thanks God naingianga kwa supaa venye nataka
2026-09-02 14:32:12
1
Andayi lilian 🥰🥰😍 :
Mimi Mamangu alijukua skirt yake akanishonea Ile ya kiraga wenye mnajua hiyo mikono juu🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 14:25:35
1
ALOYS ❤️💯 :
Umesahau Ile ya cow boy iko Na calender 😂😂😂
2026-09-02 15:57:43
2
RUNNER :
shopping ya 500 ilikuwa inakaa mwezi bana haiishi😂
2026-09-02 18:16:53
1
fawn :
kuna ile ya green ilikuwa na calender hiyo nilitumia from 1995 to 2004 .sijawahi vaa sweat ya shule wala viatu.uniform ilikuwa moja nafua Sundays and Wednesdays na ile sabuni ya panga ilikuwa ya pink na kujipaka mafuta ya Rays ilikuwa ya chupa yellow na kifuniko ya white.
2026-09-02 13:48:46
2
Naomy 📌 📍 :
yangu ilikuwa colour green yenye calendar 😅
2026-09-01 22:19:49
4
lishamtermutiso :
Kuna wakati ilifika nikaikosa nikatafta carton nikawa naziacha hapo shule nabeba tu kitabu moja
2026-09-02 14:41:15
1
carol cheche🌸♌ :
Kwanza y Tuskys ilikuwa smart
2026-09-02 13:05:51
0
❤️❤️lucky girl mhumble💫🇰🇪 :
wenye tumewahi stoneware ya gunia khaiii🤣🤣
2026-09-02 15:24:28
1
phyllis muthami :
kwanza ile ya calendar ilikuwa kubwa vizuri ilikuwa Inaniokolea
2026-09-02 16:07:00
0
@Greatwin :
kuna time walizi ban kwa shule yetu I suffered
2026-09-02 16:23:26
0
Rõdgërs🥰🥰🥰🥰 :
Kwanza mm nilikuwa natumia hio ya uchumi
2026-09-01 21:14:28
0
KE NEDY :
ongezea hapo ya BLUE( MOTORCYCLE)
2026-09-02 03:24:44
1
Prince Isaac :
Kuna Ile ya ukwala watu wa Nakuru will understand hii haiwezi raruka ata kidogo🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-01 22:48:15
1
whites :
😂😂😂I tell you
2026-09-02 17:41:20
1
Jojo :
bona sioni mtu anaongea kuhusu ya green 😂😂😂
2026-09-02 20:57:04
0
Kisaka Dorcas :
kabisa
2026-09-02 17:42:54
1
Leone Mucyo :
umesahau chuck Norris
2026-09-02 19:56:22
0
Ada of the family :
na zilikuwa zinadumu
2026-09-02 21:16:23
0
To see more videos from user @octopersdaktarikipovu, please go to the Tikwm
homepage.