@hamasikatv: Hakikisha watu ambao unakua nao wewe kama kijana kwanza ni watu ambao wanakuwazia wewe mema na ni watu ambao wanataka wewe ufanikiwe - @evamrema01 Video ndefu tayari ipo youtube search Hamasika Tv kutazama full interview #hamasikatv #hamasikapodcast #badilishamchezo