@5star_newstz: Mume wake na Chanuo #Ygkiboko ametoa Yamoyoni kwa Uchungu ambapo Sababu kuu ya wao Kugombana ni mumewe Kumfumania kwenye Gari akiwa na Mwanaume Pia #Ygkiboko amejisikia vibaya baada ya kauli ya Mke wake #Chanuo kumwambia kuwa Anakoroma 😓 #updates #5starnewstz
mi nawaheshimu ma ex wangu wote na mungu awabariki popote mlipo , mlikuwepo kwa namna moja au nyingine kipindi nawahitaji ,Asanteni kwa ilo
2026-09-01 22:39:01
69
Sarah jm :
tujifunze kuachana kimys kimya bila kupiga kelele
2026-09-02 01:46:23
36
Kidoa Maliki :
Tukisemaga vinamwisho muwe mnaelewa😂😂
2026-09-01 22:39:56
38
Linah John :
Wanawake tuchunge midomo yetu hata kama tumekosewa
2026-09-02 04:56:34
9
Mom Tee Beauty❣️❣️ :
Tujifunze kuwa na shukrani jamn 😂
2026-09-02 04:41:01
30
Zulfa Hamza :
Duuh anakoroma tena, jamani chanuo😁😁😁😁😁
2026-09-02 06:54:18
0
Zuuh_Samo..💞🧕🏻 :
Ata me nimeumia jmn.. chanuo kazingua..
2026-09-02 05:55:10
10
Catrina Mike :
Happy kwenye usd 25000 maana yake milions 60 sio kweli bhnaa hiyo hela Hana
2026-09-02 01:52:24
3
Diana jafary :
heeeeee mala hiiii chaliiiii daaaaa kwer hatar
2026-09-01 21:59:05
0
Bhoke :
Tukiachana tuheshimiane kila mtu Afanye yake..Tuache kutoleana madhaifu
2026-09-01 22:07:21
18
Bravado :
Kwan ukiachana na mtu mpaka mtukanane,..jmn
2026-09-02 06:50:06
2
Dada mzurii :
EMUNGU NIPE VYANGU KWA JASHO LANGU
2026-09-01 21:56:09
17
Salma :
maana ya few moments later 😳
2026-09-02 04:39:40
0
madame d :
ndo maana mond haachagi mtu ni matukio tu ,, kuachana kwa matusi haipendezi
2026-09-02 07:33:17
1
Mariam :
Ndo maana tunaambiwa tunza madhaifu ya mwenzio hata kama mmeachana kuna leo na kesho 🥹
2026-09-02 04:57:46
5
Celina Nanyambe :
asiolewe ww mungu kuna watu wanampenda
2026-09-02 06:40:41
0
Madam Jojo♥️ :
Ex hatukanwi Wala hatolewi Siri coz ya duniani ni mengi sana ,Ex anaweza kuwa msaada mkubwa kuliko hata ndugu zako na akafanya kwa wema akaondoka zake ,Mimi Ex wangu ndio naweza mpa. story ngumu na akazisolve kimya kimya na sijamuona kwa face to face now 5 yrz ila ni kama ndugu yangu anaweza akasolve issues akiwa huko huko hata kama ni issues ya kufika mtu anaweza akamtuma mtu ila tuliachana kwa hekaheka woiii upendo shikamoooo ila tumekubali kumove one Kila mtu anafamilia yake ndugu zake wananipigia cm wakiwa na shida na solve like brother or sister
2026-09-02 06:07:44
4
~P€ARL~💫✨🌠 :
ila kwel chanuo kakosea
2026-09-02 05:05:09
3
lam Casablanka64 💦 :
nyie 🙌
2026-09-01 21:19:46
0
Mama Ssamirr 💙 :
ataolewaaa
2026-09-02 05:01:27
1
zakia Rg1999 :
naombaaa msamehe kwaniamba yawanawake wote msamehe san ban sisi wanawake hatuna shukrani jmn
2026-09-02 05:21:29
1
To see more videos from user @5star_newstz, please go to the Tikwm
homepage.