@ruaha.tv: kama ulilelewa na mama tu lazima itakuliza @power_voice_tz #tiktokviral #viralvideo #creatorsearchinsight #mitaaimetuamini #morogoro_tanzania

Ruaha Tv
Ruaha Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 01 September 2026 21:04:17 GMT
103309
10627
287
141

Music

Download

Comments

tatusimba286
Tatu Simba :
bint mbembelez mam mkwe uwon kama anlia☺️
2026-09-02 08:24:17
94
maker001_
S🅰️Ⓜ️Ⓜ️Y🌍 :
story nyingi za hivi huwa bibuongo Akina Mama wengi huwa hawaongei kwanini waliachwa na kulisha sumu watoto ukitoka nje ya box na kusikiliza upande wa pili unaweza kuta baadhi ya wazazi wa kiume waliamua kutafuta amani ya kudumu kuliko vita waliyokuwa nayo kwenye ndoa Niamini mimi
2026-09-02 07:13:38
38
user872483725039
martina :
hongela ❤️mommy
2026-09-02 08:17:43
0
amy_fashion8
Amy babe ❤️ :
I love you my dady
2026-09-02 07:59:58
0
amonimtey
amo rasta :
usalama wa bibi arusii ni kukaa na mma mkwe vizuri asee
2026-09-02 10:32:59
24
user468725769804
𝐦𝐬 𝐠𝐞𝐞✨😜 :
Ambao tumelelew na mama tu na tuna elewa hii moshen tujuane🥹
2026-09-02 05:47:01
100
sinaijassely
jassely sinai23 :
no one like mom ❤️🫂
2026-09-02 08:20:52
0
msigwalucy
msigwalucy35@ :
Ambao tumelelewa na mama tunaelewa hii
2026-09-02 03:15:48
23
user2598076586980
✿Nyessy Belle✨ :
wachachee,,,Tunaelewaa hii situation 😔😔😭
2026-09-02 10:27:36
1
haule9558
haule :
mama yangu nakuombea maisha malefu na mema
2026-09-02 01:38:01
42
reyna_actress
reyna_actress :
😭😭😭RlP Mom
2026-09-02 08:18:56
0
agness.darius
missdarius🥰❤️ :
hivi baba! mlivyotukimbia mlifikiria hatukuwii au🥲😥
2026-09-02 09:00:52
9
benpaul237
Ben Paul :
love my momy
2026-09-02 05:40:53
8
bunayamakoe
Bu naya :
mama yangu nakuombea maisha malefu🖐️🖐️🖐️
2026-09-02 03:14:19
18
suby_komwe
Suby komwe :
rip mama natamani ungekuwepo umenikea mpaka sasa hata ndugu wa baba siwajui hii inaliza sana😭😭😭
2026-09-02 06:15:25
11
user4635692656522
minza mpely💕 :
Allha na mm naomba unikuzie mwanangu 🥰 aje aniimbie kama huyu mkaka kipindi anaoa mwanangu kipenz
2026-09-02 09:42:31
6
aishamaneno561
Aisha Maneno :
kaka goood ongera sana ila nimeumiumia sana san kaka ongera msalimie mama mkubwa
2026-09-02 05:55:49
7
consolata.timoth2
miss latino 🍒 🦋 🫰 :
mama nimama tu nakupenda mama ang japo aupo dunian😭😭😭 tuwaombee wazaz we2 ambao atuponao 😭😭
2026-09-02 06:38:28
6
abuukiduku
Abuu Kiduku💦 :
Hakuna kitu inauma kama unaoa halafu mama ako ushamzika Daah r.i.p bi mkubwa 😪
2026-09-02 08:15:50
5
user843856787124
It's bertha :
Nitampenda Mama Angu Miaka yote ya pumzi yangu Dunian Ila Baba Popote Ulipo Mwanao Nmekuwa Sana Sahv
2026-09-02 06:11:56
6
neda.donald
Neda Donald :
usalama wabiarus nikumpenda mama mkwe bira ivo aunt adi katungiwa wimbo 😭😭anampenda sana mamaake sio mchezo
2026-09-02 12:20:52
0
bataboy47
Dully@32 :
mulize vizur Kuna chanzo
2026-09-02 13:47:41
1
salmajkwtl7
Salma🤍🫰 :
Binti hata kumbembeleza mama mkwe🥺
2026-09-02 09:15:48
1
jeniphar32
jeniphar nya kowak :
ningekuwa mm ndo bint harusi ningekuwa nalia zaidi ya mama mkwe
2026-09-02 09:27:00
2
To see more videos from user @ruaha.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About