kama umekata tamaa pole sana
sisi bado tunamfuhata Yesu
2026-09-02 11:34:22
7
Calm P :
ndio mana napenda Sana ninavyofundishwa kanisani kwangu!😂😂😂
Mimi ni mkatoliki by the way
NGUZO NI TATU TUU "SALA" "KAZI" NA "ELIMU-MASOMO"👍👍
2026-09-02 06:40:11
12
Ballo Brandog :
kweny video inyocheza pembeni nimemuona baba mkwe🤣
2026-09-02 17:03:09
7
UGALIMBOGA :
vita ni vita mpaka wachoke mi aka nilikataa kitambo 2012
2026-09-09 14:08:55
3
williemnyamwezi :
Tunao left group la kanisa tumekuwa wengi su
siku hizi
2026-10-08 14:50:37
4
Meck Mbilinyi :
Mungu yupo , kipindi nasoma meta secondary ,ilikua ikifika mwalimu anafundisha vitu vilikua vinanitembea mwilini kutoa antention nisimsikilize , pia nikichukua kitabu nisome ama daftari macho yalikua yanauma siwez kusoma chochote ,huu ni ushuhuda wa kweli lakin nilipo enda kanisan Tag pale forest mbeya karibu na meta secondary nilipona ,kila dalili zilipo kua zinajitokeza niliomba na kukemea zikapotea ,aiwezekan leo hii nifike nimpinge huyu yesu ,kweli wanadam huwa tunasahau tuliko toka ,loe hii nimefankkiwa katika maisha yangu siwez sahau mungu aliko nitoa ,tulizaraulika kwenye jamii yesu katuheshimisha , kwa nn tupinge wokovu. kwani hatujasikia habar za uchawi,? kama uchawi upo na Mungu yupo
2026-09-09 06:16:11
4
Michael Kone :
Mimi mwenyewe nina rafiki yangu da akiombea tu chakula ni kama lisaaa😂😂😂😂😂😂
2026-10-01 17:44:35
3
Identity_ :
😂😂😂😂 tulikuwa tunatuma moto
2026-09-06 06:02:09
5
Respicius Ravenah :
Yan kaka umefukua jambo ambalo wengi Bado kwalo ni blind😂😂😂
2026-09-02 10:09:46
4
Msigwa255🇹🇿 :
toka nimepata ufahamu sikuizi siombi maana vyote nimepewa ukiona sina kitu au jambo ujue mimi ndo sijui namna ya kuliendea na saizi natamka tu na inakua 🙏
2026-10-05 07:25:20
2
user9398155219614 :
umeokolewa mwamba 🤣💯👊
2026-09-23 14:46:42
4
salmayra :
kila mtu ata amka kwa wakati wake ☺️
2026-09-26 19:53:16
5
Zhong lee jun :
napenda sana masomo yako😁
2026-09-06 02:59:37
1
Zawadi Gift :
wale ni wa igizaji,,,
2026-09-02 17:49:47
1
Godfrey masumbuko :
ila kama nikweli!!! au nyie mnaonaje
2026-09-05 14:33:04
1
angela :
😂😂😂😂 me pia nmestuka kiukwel ,nmejiulza maswaleng mno
2026-09-02 07:47:35
1
samson shigela :
Tatiso siyo kupigana
2026-09-02 16:11:55
1
craz Lee Roland :
nimegunduwa kweli kk
2026-09-10 11:09:08
1
faraja kibona :
daaa umenikumbusha mbal sanaaa kaka
2026-09-02 09:20:38
1
Baba love =Emanuel tweve :
😂😂😂😂😂zambi jamani dini ni sanaaa
2026-09-02 01:11:28
3
user615168778880 :
Kaka unafanya nivunje mbavu? 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
2026-09-02 06:05:28
2
Samsoni Isaack mbwiliza :
walioshidwa wana maneno mengi
2026-10-12 06:36:46
0
Erasmus Mallya :
mimi marayamwisho nilistuka 2009 nikajitoa mpaka waleo sjaendaaga kanisanitena
2026-09-28 09:28:45
1
Geshan Tz :
ni kwel vita ziko ndan yetu, da ila watu wanateseka😅
2026-10-04 12:19:32
1
Luckiest Man :
wat are you trying to say bro,
2026-09-02 00:30:39
2
To see more videos from user @christopher_musa, please go to the Tikwm
homepage.