@mizani.ambassador: POV: Mfanyakazi wa Gen Z vs CEO wa Millennial ๐Ÿ˜‚โฐ Kampuni moja, lakini muda wa kuamka na ratiba ni dunia mbili tofauti! ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜‚ Wewe unafanana na nani zaidi? ๐Ÿ‘€๐Ÿ‘‡ #fypใ‚ทใ‚šviral #MizaniAmbassador #oyaatuondoke #genzvsmillennials

Mizani Ambassador
Mizani Ambassador
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 03:22:03 GMT
31791
1219
62
78

Music

Download

Comments

quinnbaron
THE QUINN BARON :
ila ceo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…unaoga ndo unafanya mazoezi
2026-09-02 10:26:50
9
phina7093
โœจ๏ธPHINA KABAMBAโœจ๏ธ :
Bro GYM saa2?
2026-09-04 18:28:05
3
deoor_dee_
๐’Ÿ๐‘’๐‘’๐‘’ ๐ŸŽถ :
mmh!! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mzee katudanganya anakula saa kumi kweli ndo chakula cha usku
2026-09-02 09:04:19
4
swahilcutting
swahilcutting :
Hii ni saa 9 usk ndi scroll tktok
2026-09-05 00:01:12
2
isaya535
Isaiah@@,,, :
mda wa kufanya mapenzi
2026-09-02 14:54:17
2
silentzone0001
Tiger๐Ÿฏ๐Ÿฏ๐Ÿฏ :
nikama Genz ananijadili
2026-09-02 08:33:13
4
fredrickandrew125
fredrick :
Ndo nipo nakula hapa na combo ya ku scroll TikTok ๐Ÿ˜‚
2026-09-02 18:49:39
1
ernestmorondae
Ernie :
kwa hiyo mwanetu chai shwaaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-03 16:26:05
0
i8239384
i :
ukweli mtupu kwa gen z big up san
2026-09-02 06:28:59
6
vina_virna
vina~virna :
mmh sijaelewa hapo kwamba anaoga then anaenda kufanya mazoezi halafu kazini . kwahiyo anaenda kazini akiwa na majasho๐Ÿค”
2026-09-04 06:07:55
2
b.h.a.s.u
b.h.a.s.u :
Mambo ya kuomba code tu eF๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜‚
2026-09-02 07:36:43
1
mrumamruma6
mruma :
mimi ni mgeni mizani inahusika na nini
2026-09-02 13:39:35
2
safirinaeuni
Euni_travels :
Hii kwangu itakuwa ina retaliation ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-03 20:49:50
1
ms_eddie
Edna Kobadi :
Chakula cha jioni saa 10๐Ÿ˜‚
2026-09-05 04:43:48
1
zuuhcolection
pretty zuuh๐Ÿ’– :
nimejikuta nimecheka apo mwisho kumbe me mwenyew ata kaz sinaa
2026-09-02 15:54:49
1
the.hague1
The Hague :
vise versa is true isipo Kua wanaotaka kuwageuza vijana watumwaa kwa imani
2026-09-02 13:43:01
1
ismaili1138
ismaili :
namimi naomba kazii kwenyee ofisii yenu
2026-09-14 13:33:47
1
chiefkadaso
Printing_graphic designer :
If it was the same age ningeelewa maana kila mmoja hapo alifanya hayo kwa umri huo
2026-09-12 11:26:24
3
babyi782
Baby I๐Ÿฆ‹๐Ÿž :
famila gani anazungumzua mzee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
2026-09-02 09:21:51
1
deonatusndumbaro
DEE.. :
kusali hata sara ya jion au asubuhi aaah
2026-09-02 07:55:44
1
arawa_store
arawa_electronics :
Mbona sijasikia muda wa mapenzi, na wakati ndio kitu ya muhimu sana mida ya usiku๐Ÿ˜€
2026-09-14 04:31:05
1
ajuae.janja
Korosho Poa :
Yoooooh Gen Z
2026-09-06 09:44:13
1
_.zuribeautytz
Zuri beauty :
Huyo Genz halali ๐Ÿ˜ณ
2026-09-13 15:40:49
1
pinacle.etc
pinacle etc :
saa mbili tarehe 28 Nisha katwa mshahara siku nyingi sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
2026-09-13 13:22:11
1
defensivemd
DMF :
efootball all time .
2026-09-04 10:14:11
1
To see more videos from user @mizani.ambassador, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About