@frankmavura: Haya 10 ili kuelewa namna anavyofikiri, kuhisi na anavyoyaona maisha ❤️👌🏾 Want to Understand Someone Deeply? Ask Them These 10 Questions to understand how someone thinks, feels, and views life. #fypシ❤️💞❤️ #frankmavura #swahilination #swahili #people

Frank Mavura
Frank Mavura
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 03:41:38 GMT
27896
1613
23
105

Music

Download

Comments

m.e.r.c.e.d.es_
Mercedes🦋 :
People lieeeeee😂🙌🙌🙌🙌🙌
2026-09-02 11:45:52
1
mwazaninalapa850
Mozani Nkurumah :
weweni rafiki yangu katika maisha
2026-09-02 04:58:31
22
happiness.josepha2
Happiness Josephat :
my friend
2026-09-02 17:24:10
0
limmy.lee
limmy lee✨️❤️ :
mm ata mtu akija kuniuliza sina cha kumjibu sijui kwann ila sina majibu
2026-09-02 16:47:42
2
user8600504595128
kezia benevolent :
me naomba kuuliza kitu Kila video nikiangalia napata majibu mengi mpaka nashindwa kukoment naamwa2 kulaik na kupita shida yangu ni nini
2026-09-02 04:03:37
4
realelvira1
ELVIRA :
siwez kumjibu mtu yeyote hilo swali la kwanza na la nne
2026-09-02 15:38:14
0
lady.crown6
🥰🥰Lady crown❤💖 :
sindo mpk ujibiwe hayo maswali utakayomuulza
2026-09-02 16:32:16
0
jojon8352
@jojo_21 :
nakupenda baba
2026-09-02 18:55:35
0
shadycollection0
Princess shady :
Nijibu nn nikiulizwa majibu sahihi
2026-09-02 10:13:29
1
kijumbe5
kijumbe💖💷 ♡♧ :
ngoja nimuulze tena kwa English 😂
2026-09-02 16:11:22
0
somacha200
somacha :
🥰🥰🥰 hongera mpenzi
2026-09-02 10:51:59
0
user4774371232285
fetty dullah 😍 :
ni jambo gani wengi hawalijui kuhusu wewe hii nimeondoka nayo
2026-09-02 11:04:44
0
fadhila.bruno
Fadhila Bruno :
Shukran sana kila video yako uwa inanipa somo na majibu pia Allah akupe maisha marefu uzidi kutuelimisha🙏
2026-09-02 14:12:53
0
ummy_iddi
Ummy iddi🥰 :
ahsante sana
2026-09-02 10:10:39
0
patreeha
PATRISHER 💞 :
mungu anitunzie ww kaka yang mpedwa
2026-09-02 10:29:17
0
annajoseph6015
annajoseph6015 :
maswali yako yanaeleweka lakini ni magimu
2026-09-02 18:55:57
0
kiddzeenja
KIDD ZENJA :
hayo maswal ni wanawake wachache wenye akili wanaweza kukuelewa na kukujibu
2026-09-02 15:27:43
0
nkoy462
nkoy@25 :
☺️☺️☺️
2026-09-02 14:06:58
0
To see more videos from user @frankmavura, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About