natamani ningemtumia mama Ang sababu yeye ndo mtu wa Kwanza kujaribu kunifanya nimuone Mume wangu ni mtu mbaya tofauti na Mume wangu alivyo pmj na kusaidiwa mara Kwa Mara na mkwe wake halioni hlo
2026-09-02 05:05:55
3
@Pendova🎀🦋 :
Mimi ma MKWE wangu alimwambia mwanae Aoe Mimi sifai 😂😂😂😂😂nkaachika
2026-09-02 11:24:10
0
Yunnie 😘 :
Naomba nkucheki inbox maana
2026-09-02 11:57:24
0
Zainab Saidi :
nasubir ya mawif kwa wakwe mi napit apoo
2026-09-02 11:34:03
0
josephinejosepha3 :
sitosahau hadi naingia kaburini kuhusu mama mkwe
2026-09-02 05:57:24
1
cecy fashion 🛍️🥰 :
Baad ya ma mkwe namuwekea baba mkwe 😓😭🙌
2026-09-02 07:46:57
0
winnieswai4529 :
Semaa tupone
2026-09-02 09:57:54
0
Tik Toker :
kaka machozi yamenitoka
2026-09-02 11:07:34
0
Janipher_Mshaki :
wakumbushe baba angu kwa mana huku hakueleweki kabisa
2026-09-02 11:34:50
0
tee :
sasa naichukuaje hii
2026-09-02 06:48:07
0
CHIUMU💗💋 :
sijawai kukoment lakini Huku nmefika😂
2026-09-02 07:15:53
0
Hizkil :
Naomba uanze kutudai ada ya kusikiliza madini yako Chief. 🤔
2026-09-02 09:32:27
0
Capricorn ♑️ :
Heheheheheh Mamkwe wa kinyamwez shikamooooo😁
2026-09-02 05:27:33
2
Filo 🇹🇿 :
😂😂😂 yupo mmoja amesha haribu hukoo
2026-09-02 05:36:03
1
Hinaya Chako :
kiukweli wengine 2mefungwa vizazi na mama mkwe anambra kwamba sntozaa ktk maishayangu labd mkonawake uote nyweleee jamani mama kwe ni kipengere
2026-09-02 10:49:32
0
Mumu minaj🫶😋❤️ :
Mama mkwe mm nikwambie tuuu ukwel yng na ya mume wng yaache maana nitakuvunjia heshima utanisamehe tuuuu kwakwel usituingilie🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 07:05:38
0
mom G&3b@ :
yaani bora wanaume mia kama wewe wawe waongeaji kwahili jamani
2026-09-02 05:47:30
0
user1577267551944 :
🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 05:39:14
0
user6599539405561 :
😂
2026-09-02 06:56:08
0
habiba tz og :
🥰
2026-09-02 04:54:30
0
To see more videos from user @talkboutitwithconradley, please go to the Tikwm
homepage.