@kayogera7: 💨 GESI KUJAA TUMBONI, TUMBO KUVIMBA NA KUJISIKIA KUJAA HARAKA? Gesi tumboni hutokea wakati gesi inapokusanyika kwenye mfumo wa chakula. Ni hali inayoweza kutokea kutokana na kumeza hewa, baadhi ya vyakula, kula haraka au matatizo mbalimbali ya mmeng'enyo. 🔎 Dalili zinaweza kuwa: ✅ Tumbo kujaa na kuvimba ✅ Kujamba mara kwa mara ✅ Kuburp ✅ Maumivu au usumbufu tumboni ✅ Kuhisi tumbo limejaa ⚠️ Ikiwa gesi inaambatana na maumivu makali, kutapika, damu kwenye choo, kupungua uzito bila sababu au dalili zinazoendelea—tafuta huduma ya kitabibu. 📞 Usizoe maumivu ya tumbo kila siku. Tafuta ushauri wa kujua chanzo. Wasiliana nami kwa ushauri na matibabu zaidi: 0792078806 💚 Utajiri wa kwanza ni Afya Yako Mwenyewe. #GesiTumboni #AfyaYaTumbo #MmengenyowaChakula #UshauriWaAfya #UtajiriWaKwanzaNiAfyaYako

Kayogera
Kayogera
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 04:14:43 GMT
2355
54
1
26

Music

Download

Comments

geofreyladslaud
Geofrey ladslaud :
hbr na tumbo kuunguruma je tiba yke nn
2026-09-02 04:24:54
1
To see more videos from user @kayogera7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About