@xplus.tz: ULIVYO UTAJILI WA MAHINDI #tanzaniantiktok🇹🇿 #malawitiktok🇲🇼 #kenyantiktok🇰🇪 #rwandatiktok🇷🇼 #ugandatiktok🇺🇬 @Diamond Platnumz @Mbosso @TikTok @instagram @officialzuchu @Harmonize_tz @Clouds Media

DR MIZUNGU
DR MIZUNGU
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 04:19:05 GMT
27770
1287
50
76

Music

Download

Comments

maugum770263
Maugum👣👣 :
Daah miata ikila3 nipe ladaizo
2026-09-11 10:40:47
0
chuseboytz01
chuseboytz01 :
nataka kuja ila badala ya mahindi tuwape ulezi
2026-09-10 18:49:45
4
sam_official880
sam_official. :
wakila 100
2026-09-10 19:48:34
1
user2931093563038
yuzzowakuda :
vip mim nikija na kuku wangu
2026-09-10 20:13:28
3
yohana.saip.wcb
yohana saip WCB :
nipe konekishen nije
2026-09-10 07:21:01
3
spopilee
LAMINE YAMAL 10✅️ :
zisipokula je inakuaje
2026-09-10 19:14:59
1
benjamingingo312
Benjamin Gingo :
mm sitaji wamaind
2026-09-11 06:54:57
0
innocent.rockefel
Adam :
Nakupataje
2026-09-10 12:53:42
1
thomydalaligoba
thomydalali goba 03 :
kama wakizidisha maindi 10
2026-09-11 07:01:51
0
maneno.abeli
Maneno Abeli :
Tunduma tumewakosea nn waganga🤔
2026-09-10 22:30:28
0
nyehupalee
nyehupale🇰🇪🇹🇿🇺🇬🇨🇩 :
kwani hakuna kafara igine
2026-09-09 18:07:49
2
mourricempanj
Star_gwanta :
huo utajili wa mahind asije akakudanganya mtu n mbaya kinoma ata yakiliwa mahindi 50 ila ukifa na mali zako zinapukutika zote hakuna mtoto wala ndugu hatakaye zifahid unakuta nyumba inaungua ofis kuungua mala bima yan nmambo kibao matajir wengi wamekufa mbeya nyumba zimebak kama magofu
2026-09-11 09:25:15
0
zungu5928
omega :
uko wapi.kaka weka namba zalau sitaki tena☺️☺️☺️☺️
2026-09-11 07:46:09
0
d.major.tz
D.major.TZ<>🤑 :
wakila300 unakua mtume au imekaaje
2026-09-10 20:46:40
0
user4766671562797
mndende :
kaka kwema apo mjengon
2026-09-09 09:35:45
1
edwardmalundi
EDWARD A.M.M :
ndo SAULI au ??
2026-09-10 17:11:06
0
user5905105956193
JAMES SUBARU :
Sizani kama ata mungu angetuweka wazi siku zetu zakutoeka DUNIANI akuna mtu angetenda Dhambi
2026-09-10 09:05:30
1
user321515257390
PENN LOUNGE :
kaka kwema
2026-09-09 11:51:24
0
yuzzo.country.tz
yuzzo country TZ :
mbona number hazipatikan ss jmn WATU tunashida napesa hzo
2026-09-10 12:52:50
0
bertoldluambano
Bertold :
hivi lazima niwetajiri kwani.!??🙏
2026-09-10 14:20:52
0
user69098659704360
[email protected] :
tuma namba zako
2026-09-10 14:46:06
0
as.vizi
AS VIZI :
akuna kitu kama icho nipo apa niambie upo wapi nije unipe uwo utajiri tuone
2026-09-11 13:47:35
0
kidagaaofficial_
Rajabu Salumu :
unapatikana wap
2026-09-10 16:19:50
0
ramekwiliam
lameck tz :
nimekuelewa sasa
2026-09-10 15:48:08
0
mbano.umeme1
Mbano Umeme :
wakila yote jeh...😁
2026-09-10 11:44:50
0
To see more videos from user @xplus.tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About