safi kabisa mikanisa imejaa watu wabishi tunamukataa. MUNGU
2026-09-02 06:52:56
3
REMNANT Harry Elias Mbale :
coment sio nyingi maana ukweli unauma hamtaki kuambiwa ukweli
2026-09-02 04:30:27
3
NOVEMBER GIRL 💗🩷❤️ :
injili hii wengi hatupendi kuhubiriwa makanisani, maana tukwazika haturudi tena kanisani
2026-09-06 22:09:21
1
iamhappyness :
Ameeen wakukimbia na akimbie ila tunaobaki tunakuwa moto kwel kwel
2026-09-09 10:18:28
2
mtoto wa mama 💖💝 :
amen 🙏 🙏 🙏
2026-10-04 10:16:01
0
user2939215492245 :
hili kanisa lipo wapi tafadhali....
2026-09-03 11:09:07
0
Zephaniah preacher :
ubalikiwe paster
2026-09-02 13:02:23
1
mamapendokids :
Amina kubwa baba
2026-09-02 09:27:58
1
JOVEH :
INJILI YA BWANA ITAUBILIWA KILA SEHEMU
2026-09-02 06:27:00
1
andrapascal236 :
Amina sana Baba
2026-09-02 07:52:56
1
Love Christian :
ameni sana
2026-09-02 06:04:43
0
Shukranisanga :
Ubarikiwe sana huo ndo ukweli
2026-09-24 08:02:52
0
Ivan Kibona :
hwajasoma isaya 1:18 kwamba zdhambi zijapokuwa nyukundu kama pendera atasafisha na kuwa nyeupe
2026-10-06 07:36:36
0
user6660363574681 :
Mungu akubariki sana kwa kusema kweli injili za ivi zimepotea sana
2026-10-04 08:42:42
0
willison :
Amen.
2026-09-02 09:55:58
1
Bina😍 :
Aminaaa🔥
2026-09-02 12:21:16
1
Jésus-Christ Revient Bientôt🌍 :
Barikiwa mualimu 🙏 tutazidi kusema kweli maana Bwana wetu Yesu kristo ndiye njia na kweli na uzima 🙏 Jésus-Christ Revient très bientôt soyons prêts repentez-vous svp 🙏🌍⏳
2026-10-04 12:42:39
0
simoncharles561HaoSailc.o.LTD :
amen 🙏
2026-09-02 08:46:37
1
redemta ester :
Wokovu wa mchakato hii ni atari
2026-09-21 11:21:56
0
imrufo10 :
🙌🙌🙌Baba
2026-10-05 19:07:59
0
Rian :
Amen🙏🙏
2026-10-07 14:39:57
0
user10pita777 :
Amina
2026-10-06 21:08:02
0
Zainab jabir :
hakika ni YESU
2026-09-30 16:08:30
0
jose mombasa autodeals :
kweli..maombi ya mwenye dhambi ni kelele mbele za Mungu
2026-09-23 04:47:41
0
ABDALLA WA YESU.⭐⭐⭐ :
amen asante mtumishi..
2026-09-02 14:00:32
0
To see more videos from user @harry.mbale7, please go to the Tikwm
homepage.