@ochumaudaku: Mmemuona mama kijacho

Ochu Maudaku
Ochu Maudaku
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 04:59:16 GMT
473222
43075
2190
3740

Music

Download

Comments

pinklure_ludo
Ludo :
baraka hizi ziende kwa kila mwanamke anae zihitaji 🙏
2026-09-02 07:09:40
3315
hilary.komba6
HILARY KOMBA :
Tuwape heshima zao wakina mama....Me nilijua ni Mrisho Mpoto...
2026-09-02 06:51:36
3155
anna.simon.laizer
Anna simon Laizer :
jamani hii kitu hapan nkawa naning'inia dirisha naambiwa na docta shuka namwambia sishuki aaaaah....😳
2026-09-02 06:27:03
252
mwaaner65
~Lavender🧕 :
uwii km sio maua sama
2026-09-02 06:08:14
6
user9088009144618
marimar :
Apo kila kitu unajibuuu tu Sawa 😁 Mungu atusaidie
2026-09-02 06:54:45
158
ukhty.rahma13
Ukhty Rahma❣️ :
hii baraka iwapate wanawake wote wenye uhitaji yarab
2026-09-02 13:35:45
264
siscocosmetics
Sisco cosmetics Tz🛍️ :
Hiki chumba nakiheshimu😁😁😁nakumbuka doctor aliniambia toa nguo nikajifanya kama sijamsikia muda ulivyofika nilitoa na nikaenda kumfata uchi weeee nikasema sitarudi tena baada ya miaka mitatu nikarudi tena😁😁Mungu awalinde wakina mama wote🥰
2026-09-02 10:37:47
355
lissah092
LissaMapizza :
nan alimuon Rosaree yule alivimba atariiiiii
2026-09-02 19:29:15
1
cheppy.mazengo
Twins 🇹🇿 🇸🇴 🇴🇲 :
Allah awajaalie wanawake wote wenye uhitaji wa kuitwa mama inshaalah
2026-09-02 10:59:38
102
kimnanah66
kimnanah🦋 :
mimba shkamooo eeeeeeeh hatar na mm mungu anipe wangu wa kumtawaza
2026-09-02 06:10:29
239
liz_ed03
Elizabeth Edward :
men should be arrested
2026-09-02 19:55:33
0
maggymwangi40
Maggy :
Pregnancy can humble you aki, best of wishes though
2026-09-02 18:19:45
0
user8425247265192
user8425247265192rey :
pole my dear
2026-09-02 14:59:43
0
lovejuicebar2
lovejuicebar2 :
Nyieeee nyieeeee me simo
2026-09-02 11:14:50
6
mtotowakichaga1
jennie :
Km sio maua sama mimba shikamoo 🙌🙌🙌
2026-09-02 10:21:45
1
tiphaoutfits
TiphaOutfits :
Nikikumbuka nilikuwa napiga azana muda wote, Swalaaa,, Swalaaa😂😂 Nesi akanambia naona umekua Imamu😂😂 Uchungu na uheshimiwe na watu wote.
2026-09-02 19:42:01
11
awetujohn
agayaachande :
Ila mimba kawa Kama love wa jua kali jamn😂
2026-09-02 12:50:05
16
user4891744727163
ney fahady@♡ :
mama orie njoo uone uku wenzio
2026-09-02 07:34:42
612
peninaleonard2
peninaleonard790 :
tunaojuwa anayoyapitia mauwa gonga like
2026-09-02 12:34:05
38
fry.girl94
Rachael :
Mungu naomba nikibeba mimba niwe kama Wema ☺️
2026-09-02 15:20:30
17
esmamelanin
esma melanin🇹🇿🇴🇲♋ :
nlikuwa namwambia mama mjamzito mwenzangu hodini,nishike mkono 🤣yule mama kama hanisikiii 🤣 nyie
2026-09-02 12:28:35
7
73tiktok.c
lizywilly :
uchungu unauma jmn lkn kwa niliyopitia leba bora ata uchungu
2026-09-02 12:06:01
8
chimoo665
chimoo :
wema umemuona maua sama lakin
2026-09-02 07:28:26
200
To see more videos from user @ochumaudaku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About