@under20.operator: #operator_excavator #youngopearator #hevyequipment #excavator

🇹🇿OP. UNDER 18  🔞 🇹🇿🇹🇿
🇹🇿OP. UNDER 18 🔞 🇹🇿🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 05:04:30 GMT
48202
2428
42
37

Music

Download

Comments

japhee.47
japhee operator 🚜 :
Mdg wangu w jau unajua 😂😂😂
2026-09-04 17:53:28
2
kifuntajr
KifuntaJr :
hii ni hatar sana op maan kama iyo cheni ya pili inayotembe ukikutana na bonde kidogo tuu ni hatar
2026-09-02 06:41:46
11
abelwalwatz
abelwalwatz :
tuonyeshe unayopita wewe
2026-09-22 21:52:33
1
sos7402
Eric🦉 :
Kuna njia nyingia sana za matumizi ya machine ila op mzuri kitu cha kwanza katika kila kazi ni usalama wa wewe na machine
2026-09-03 16:10:49
6
david.juma98
David brand :
👍
2026-09-02 06:53:49
3
.gpa.4.5
GPA 4.5👍 :
kaka nifundishee bas kaka
2026-09-25 09:35:16
0
rajeshramadhani
Rajesh Ramadhani☑️ :
🤣🤣🤣🤣🤣mh
2026-09-02 12:47:40
1
lightnick1
Mwanga Nick :
hii NI kubeti Bora Ile ya kukita baketi kisha kutembea Ile inakuakikishia usalama mkuu
2026-09-12 03:10:14
1
john.bracius
Op Mulilo :
nimewai kulipishwa mpunga kisa kutumia hii njia majaruban
2026-09-02 19:08:24
1
boazanselmi
Op boaz :
mnaelezea tu video wanetu tukiwaomb mtingo kmya sa sijajua mnafundishan ma pro tu
2026-09-19 13:02:02
0
billyblanks27
12:00🇵🇷 :
Angetembelew hiyo chain ya nyuma
2026-09-02 10:24:21
1
felizard_official
felizardot20 :
kma buket yangy ningeweka upande cheni ipo waz
2026-09-02 14:21:58
1
user8763181526587
mfaume :
pw
2026-09-19 11:36:28
0
magnetic642
Äymán Scotts Mendez 🔵⚪️⚫️ :
utaangalia eneo ulilopo kama linaruhusu kufanya hivyo la sivyo utasababisha hasara hapo
2026-09-02 13:44:34
1
ttikotiko
Ttikotiko@ :
fire
2026-09-18 14:28:21
0
xhaklee
0p xhaklee99🚜🦺 :
inategemea na mazingira mkuu
2026-09-02 08:15:27
1
mshobo101
𝐣𝐮𝐧𝐢𝐝𝐞™ :
iyo ni kwa sany tu kwa cat ni nzito aiwezikan
2026-09-06 18:18:54
0
saimonmdinde
Efootball gamer🤴 :
ni lahisi lkn hatari😂
2026-09-04 15:20:41
0
phylejoshua7
Phyle Joshua :
hiyo mchina anayo fanya hapo ukijaribu kwenye mabonde utajuwa hujui 🤣🤣🤣
2026-09-04 19:38:11
0
meshackngochi
Bishop ngochi chosen tetenira :
hii utakufa😅😂😂🤣🤣
2026-09-05 11:27:55
1
kiasi.ludovick
Kiasi Ludovick :
ikosawa
2026-09-28 04:16:13
0
bxc642
بيلي :
swing pump loading....
2026-09-05 09:34:21
1
mamesvyizigiro548
Mame𝐬 𝐭𝐡𝐞 𝐛𝐞𝐬𝐬 :
kuna ingine unalukisha hiyo machin cheni zote zikapita juu🤗🤗🤗
2026-09-05 22:19:29
0
mahamdummbaga
op mmbaga :
imeka pow hii
2026-09-02 10:31:49
0
To see more videos from user @under20.operator, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About