ajali kweli zipo ila madereva wengi sasa hivi utoto umezidi 😳 ndio hivyo tuna jiumiza wenyewe tuna singizi a upepo ila sio kweli 113 zinaenda zina rudi kwamba zina uborq kuliko zuchu gari ya 2020 na gari ya 1990 huko
2026-09-02 17:52:13
26
MASSAWE TRUCK DRIVER🇹🇿🇿🇲 :
howo sio gari jamn mba daily ajali 🔥🔥
2026-09-02 08:09:48
4
DIANA🌹 :
MUNGU wakinge madereva wote na roho za maajari
2026-09-02 13:45:08
11
BINT OMMY OG 🇹🇿 :
ALLAH AWASIMAMIE MADEREVA WOTE AMIIN 🤲🤲🤲
2026-09-03 02:03:10
11
omary salehe omary. :
hyo kati ya mdaula na msolwa hpo juzi mungu atusimamie ktk kaz ztu
2026-09-02 07:01:30
7
Suba Brown :
HIZI ZUCHU TUZIANGALIE KWA NAMNA NYINGINE AISEE ZITATUMALIZIA NDUGU ZETU MFUMO WA UPEPO NI MDOGO KULIKO GARI💪
2026-09-06 19:28:14
3
ibrahim mlosi :
ila wazee naomba kuuliza izi zuchu za dizain hii kwanini ndo zinaongoza kwa ajari ??
2026-09-02 19:45:21
3
🐐🐐 mbuzi :
polesana mkuuu madreva 2jitaid kuwa makin
2026-09-02 22:14:12
1
Richard🦺🚦 :
ila road🙌🙌 mungu atulinde
2026-09-02 17:07:36
4
bradsebuyo :
hiyo gari si ndo hii
2026-09-04 08:25:21
1
@Mohamed Bozi :
hii ajari imetokea kwenye nteremko wa kuingia mdaula uwerekeo ni morogoro uyu bro alikuwa mbele yangu mm nlikuwa nyuma yake chanzo cha ajari ni 113 kipisi ilikuwa imearibika kwaiyo gari zilizokuwa zinapanda zilikuwa zinaovateki (iyo gari ya los cargo) ilikuwa inaovateki ndio tank ikashuka bila breck na kumuingia uso kwa uso dereva wa tank alichomoka kwa mbele na kudondokea chini lkn mzima na dereva wa gari ya mzingo iliyokuwa inapanda kachanika kidogo kwenye kisigino na kimvua kilikuwa kinanyesha niliambiwa nitoe ushaidi nkakataa cz nlikuwa safari
2026-09-03 17:19:04
5
babukijege :
dereva kapona kwer
2026-09-04 04:27:52
2
saady mushy🛣 :
dah zuhura zinatumaliza sana jamanii😓😓
2026-09-03 21:51:34
2
Jæy :
zuchu anatumaliz 🥺🥺
2026-09-02 12:07:32
1
dijahcakes :
Iyo gari ili feli break na dereva alitoka salama
2026-09-02 13:27:21
1
şäñë øffîčöľ :
daah hi ajal nilion maeneo ya kidaula
2026-09-03 11:39:43
1
Eliasi Bukuku :
2026-09-02 18:09:58
1
user60636171797507 :
kazi zetu ngumu sana aisee mungu tusaidie 🙏🙏🙏
2026-09-02 06:12:12
1
morentotz🇹🇿🇱🇷🇮🇱🇲🇦🇪🇬 :
majonzii 😭😭
2026-10-09 17:52:16
0
Othuman Bey Sizya :
mungu awape maish marefu madereva wotee
2026-10-06 15:33:36
0
Ally Mwarabu :
pole sana
2026-10-20 18:22:33
0
BOY BOY TZ 🔹 :
daaah
2026-10-22 07:12:00
0
mazaga :
daah polen broo
2026-10-13 16:35:22
0
piskwey...Tz :
duuuh
2026-10-10 18:32:45
0
exhoust :
2026-09-02 06:33:33
0
To see more videos from user @abobakar.lwambo, please go to the Tikwm
homepage.