@assabqi.tv: 📿 ALLAHUMMA SWALLI WA SALLIM ‘ALA SAYYIDINA MUHAMMAD ﷺ ❤️

AS-SABQI TV
AS-SABQI TV
Open In TikTok:
Region: KE
Wednesday 02 September 2026 05:15:28 GMT
2543
170
34
107

Music

Download

Comments

hussein.sega
hussein sega :
arshi waijua broo
2026-09-02 19:02:45
1
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Masufi hawazungumizii maneno yeyne dalili isipokwa maneno yametungwa
2026-09-02 17:47:12
3
mwendapole32
mwendapole :
قل هاتو برهانكم ان كنتم صادقين
2026-09-02 18:00:20
2
ibnu.twalib.albaa
ABU UNEYS :
Dalili ya kuboreshwa hio sehemu iko wapi?
2026-09-02 16:40:35
1
abdulkarim.juma0
captain Abdulkarim juma :
Hamna pahali patakatifu kushinda Arsh...Astaghafirullahi laadheem/SUBHANALLAH...na kuna Rawdha pale madina lakini haiwezi kushinda Arsh SUBHANALLAH habib yaa sheikh Arsh SUBHANALLAH kwenyu Lahyul Mahfudh...SUBHANALLAH/swallallahu Alleyhi wasalaam Tuwacheni kucheza na Arsh ya ALLAHswt Arsh...kwenye SIDRATUL MUNTAHA...ALLAHU AKBAR...
2026-09-02 19:33:00
0
abdallah.mwinyi83
Abdallah mwinyi :
subhanallah
2026-09-03 00:23:30
0
rraziqiyyavijanasgd1922
Ahlul twariqqa :
2026-09-02 23:23:53
0
khalidbinwaleed44
Khalid :
Wapotevu
2026-09-02 19:52:29
0
hakeemprince868
Hakeem bin Hizam :
swallu alla Muhammad 🙏
2026-09-02 21:23:46
0
user1811537731159
MAALIM HAJI :
wewe sheikh wewe mche Allah
2026-09-02 20:29:32
0
boeysha
boeysha :
subhanallaah eeh kwa ushahidi upi huo ama ni kuzungumza tu kufurahisha baraza..
2026-09-02 18:00:28
0
abdallah.mwinyi83
Abdallah mwinyi :
uzuri kila mtu ata lipwa kwa alicho kifanya kisha jua utaenda kuulizwa kwa haya ulio tamka
2026-09-03 00:27:06
0
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Ajibu masu'ala na uprojozake Ndiyo. Ikiwa unamaanisha kisa maarufu kinachosema kwamba mbingu na ardhi zilijivunia/kushindana kwa fahari: ni ipi iliyo bora kwa sababu Mtume ﷺ alizaliwa au kuzikwa humo, nitumie maandishi ya kisa hicho au picha yake. Nitakichunguza katika mambo manne: Chanzo chake cha kwanza — kitabu, juzuu na ukurasa. Isnadi yake — ikiwa ina isnadi, nitaitaja yote. Daraja la riwaya — sahihi, hasan, dhaifu, mawdu‘ (imetungwa), au haina msingi. Kauli za wanazuoni — hasa wanazuoni wa mwanzo na waliokuja baadaye.
2026-09-02 17:51:36
0
ridwan.real.estate
ابتعد عن صاحب الهوى عن ضلالته :
Si sahihi kusema kwa ujumla kwamba kaburi la Mtume ﷺ ni bora kuliko Arshi (العرش). Lakini suala hili lina maelezo: Arshi ni kiumbe mkubwa na wa juu zaidi miongoni mwa viumbe, na Allah سبحانه وتعالى amethibitisha kuwa Yeye yuko juu ya Arshi kwa namna inayomfaa. Kaburi la Mtume ﷺ liko katika eneo linaloheshimiwa sana duniani. Wanazuoni wengi wamesema sehemu alipozikwa Mtume ﷺ ni miongoni mwa, au ndiyo, sehemu bora zaidi za ardhi. Hivyo, kuna tofauti kati ya kusema “sehemu bora zaidi duniani” na kusema “bora kuliko Arshi.” Arshi si sehemu ya ardhi, bali ni kiumbe mkubwa kuliko ardhi na mbingu. Kwa hiyo kauli salama ni: Kaburi la Mtume ﷺ ni sehemu tukufu sana katika ardhi, lakini si lazima tuseme kwamba ni bora kuliko Arshi. Pia kuna khilafu ya wanazuoni kuhusu ipi ni sehemu bora zaidi duniani: Makkah, Madinah, au eneo la kaburi la Mtume ﷺ.
2026-09-02 17:42:15
0
user1811537731159
MAALIM HAJI :
DUU
2026-09-02 20:29:13
0
athuman.bakari4
OSMAN ABU BAKARI :
HAWA MWISHOWE WATAMUITA MTUME NI BORA KULIKO ALLAH WANAELEKEA HUKO
2026-09-02 19:43:58
0
user25818865225396
concentration :
makhurafi hebu tupumzisheni jamani, kila siku mnakuja na vituko
2026-09-02 17:00:58
2
abu_muad_al_athari
Abuu Mu'ad Assalafiy As Sūmãli :
MASUFI HUWA WANAFANYA JAMBO NDIO WAITAFUTIE DALILI
2026-09-02 19:34:10
0
user3759613752313
Raj :
innaa lillahi wainnaa ialyhi raajiun wacheza na arshi ya Allah
2026-09-02 18:07:46
1
musa.masuo
Musa masuo :
makhurafi kila mwaka waja Na mapya
2026-09-02 19:49:40
1
adammaulid850
adammaulid850 :
ndio washafikia huko,sema hawaweki bayana tu,labda mpk siku z mbelen huko
2026-09-02 21:21:36
0
thisisme_991
user2608787746811 :
Mmh hawa wanalengo la kuleta utatu au??
2026-09-02 23:54:50
0
fazaambaruk7
Faiz mbaruk :
huyu amizidi sasa
2026-09-02 19:11:01
0
To see more videos from user @assabqi.tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About