The religious leaders in Mombasa are causing divisions amongst the community instead of uniting them.Very sad that they have no ability for self reflection.
2026-09-02 06:00:05
4
yusuf barasa :
Huyu ndio sheikh anaejielewa zaidi na kila mwenye mwenendo wake mashaaAllah Allah amlipe zaidi
2026-09-02 14:50:37
2
Nuaym.10 :
yoote ni kuwa lau kungekuwa na adabu ya ikhtilaf basi hatungefika hapa lakini ajabu utaona wengine mpaka subhanallah husema sisi twafaa kujiweka mbali na wanaosoma Maulid na pia kuwachukia kweli hii ndo daawa na umoja wa uislamu
2026-09-02 16:55:29
1
Tanta02😎 :
MashAllah..💯
2026-09-02 19:06:10
0
Hassaan Wa Hussein :
Good
2026-09-02 18:21:46
0
shebe :
nasaha mzuri sana shukran
2026-09-02 08:03:58
1
mashjarydollar :
Shida yote inaletwa na Masheikh wa pande zote mbili kutohishimiana kwa sababu ya RAMADHAN, MAULID ndio waislamu hugawanyika kwa MATUSI na KEJELI za kipizu, Au kukatazana ni kuhusu MWEZI wa Ramadhan na MAULID basi, Asomae asome na asosoma asisome! lakini haipendezi na wengi wanaotukanana au KEJELI hawana ILIMU ya DINI ilimu zao ni DUNI sana, wenye ILIMU hatumii matusi Wala KEJELI Wala mizozo
2026-09-02 18:44:19
0
phauz 🧢 :
الله يحفظك يا شيخ محمد 🤍💪💯
2026-09-02 18:58:50
0
Khadija heena :
swadakta sheikh
2026-09-02 17:45:06
0
iddinjiru :
ustath twanyimwa hadi futari mwezi wa ramadhani kisa sifungi na mwezi wa kimataifa
2026-09-02 13:10:18
1
jyzoo :
jamii ya waisilamu yasikitisha
waisilamu wanaritadi
waisilamu wanakosa mahali pakuswali
waisilamu mayatima wanaitaji usaidizi
2026-09-02 14:52:20
0
💞Haifa💕313💕 :
Kila mtu angefata lake tuu ingekuwa sahali ,maana hatuwezi fanana tumuachue Allah kazi ya kuhukumu
2026-09-02 08:23:39
0
swaleh juma :
Allah aza wajjala amuhifadhi sheikh obo
2026-09-02 18:18:39
0
Bala Hatun 17 🇹🇷 :
Alhamdhullah thuma Alhamdhullah Allah akujaze kheri Sheikh kwa Maneno yko mazuri Allah akujalie katika Swadaktul'jaria yko Ameen Yarabii 🤲
2026-09-02 11:41:29
0
@ abuu junyd :
walienda kupiga kura au ni kwa ajili dini?
2026-09-02 10:52:25
0
Ali Hakim :
subhanallah
2026-09-02 05:54:58
0
Mãšjıḍ Ťaqwa Mnarani :
kweli kabsa
2026-09-02 05:33:09
0
adamuissa 2424 :
amakweli kunamda hata saa mbovu kunamda inasema kweli
2026-09-02 15:47:06
0
user8498358402611 :
Kweli Ustadh
2026-09-02 06:48:38
0
keemz olajuong :
hukuhusishwa ndio watch hutba ya state house,next time utaitwa.haikua maize millers ndio wateta.ukienda maize millers mbona husemi ni wahabi?
2026-09-02 15:29:51
0
shariff :
kama mtakuajua ninan anaefaa kua kingoz wawaislamu katka zama zetu bac huyo nmmojawapo anafaa ako kwenye sera na akhlaq za maimamu wetu wanne walikhttalifiyana hawakukhalifiyana shukran
2026-09-02 09:34:31
0
JUNGLE MASTER :
Wewe pia una wapeleka kwa Maiz Millers
2026-09-02 13:28:09
0
FASBIR :
na huo ndio ukw3li.uzuri wa sheikh obo hasomi maulid lakini kukashifu
2026-09-02 07:19:17
0
patel :
👍
2026-09-02 08:11:53
0
king-bing1 :
@Abuu Turaab @abuuzakir @Izudin Alwy mohamed @
2026-09-02 12:44:49
0
To see more videos from user @abushuraim6, please go to the Tikwm
homepage.