na umpate uyo mwanaume wa kukudekeza[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-06 05:09:41
6
Glory Bakari :
First born hii haituhusu
2026-10-06 08:14:11
73
firdaus :
naomba kusave plz[Tears of joy][Laugh approved]
2026-10-06 00:05:10
0
officially Sumaiyah :
Me nae HY sector naimudu vepeee[Tears of joy]
2026-10-06 12:52:47
0
Shemsa Khamid :
😂😂😂 mwalim w math v
2026-10-06 12:38:24
1
J SMART PHONES & ACCESSORIES :
ogopa firstborn
2026-10-06 13:22:40
1
quty girl :
shida sio kudeka uhakika wa kubembelezwa 😂
2026-10-06 08:05:03
28
Meenah :
shida uwakika wa kubembelezwa 😂😂😂😂
2026-10-06 06:18:19
36
laprincessbeatric :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] mbona mwalimu wa mathe jamanii kuna wa Physics sio poa
2026-10-05 11:40:47
1
by shaa.💯 :
nimenuna nikaambiwa asira zikiisha nitafute 🤣
2026-10-06 08:56:40
9
babe🌸fahyma🦋🌸 :
Nikinuna naambiwa Nina kiburi😂😂😂
2026-10-06 11:10:34
7
farda maisarha :
😅😅nimeambiwa hayo mapenz ya darasa la 7😅😅😅🙌🏼🙌🏼🙌🏼
2026-10-06 13:03:51
2
veesiao :
mimi nilijununusa nikalala kwenye kochi alafu kuna mvua nililala kwenye kochi mpaka asubuh baridi inanipiga hatari ....alafu namsikia anakoroma kabsa ata bila shida .asubuh niliamka saa kumi na moja nikaondoka😁😃😃😁😃
2026-10-05 12:39:47
11
Beatrice😍🤎 :
Mimi kama First born Hii hainihusu 😌😏🤣🤣🤣
2026-10-06 12:36:09
0
عيون جميلة🥹😍😘🎼 :
mm jaman nimezid Mungh nipunguze 🥺
2026-10-06 12:09:43
1
de pie💞 :
nkijipata nyafany hivyo sahv nataft ela kwanza☺️☺️
2026-10-06 11:10:55
2
est :
nilikuwa Ivo nikaachwa akasema hawezi kuwa na mtu analalamika mara anajinunisha mara anasusa 🤣🤣🤣
2026-10-06 10:59:03
1
baby ney😘 :
😂😂Keeeh jamn mtu asiwe serious na mahusiano kwhy jamn