@zalmer_lisher: #Unaacha Kuforce Alie Kuzalisha Akuoe Unakazana Kuforce Mume Wa Mtu Akuoe 😂 Ooh Utasema Wanaume Mbwa Kila Siku Sabb Huna Akili 😂🙌👌#@AISHA ABDURAHMAN @precious vunge♏️❤️ @Aneem♌️ Maryam 🌸 @🍀🌿Princess Msaty🧕🍀🥀🌸 @🦋🌸Sweet🌹Izzah__OG❤️ @delynahomes_store @Badrah_cakes

zalmer lisher❤️
zalmer lisher❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 05:35:15 GMT
64111
2905
124
154

Music

Download

Comments

ms.scopio1
Shaniah👑❤️ :
mume kamwambia akinitafuta ndio talaka yake😂
2026-09-04 03:42:32
6
zaina.ameir
mrs king og 🥰💋❤️❤️🫶🫶 :
yani ww acha2 sitaki hata kukumbukaaa 😂😂😂
2026-09-02 10:14:57
6
user949043546768
user949043546768 :
mkiniona napigana na mwanamke mwenzangu kisa mwanaume mniuee 🤣🤣🤣🤣
2026-09-04 15:32:09
5
a_star0980
Bi gh'aisha🥞 :
Me niliambiwa mumeo ninae na huna kitu utanifanya
2026-09-02 16:15:43
12
officialfatuma1
fatuma15 😜🦋 :
nilipigiwa huku analia nmempa nn mwanaume wake wakat me ckujua kama tunashare me na yy nikaamua kumuachia na uoga wangu 😁
2026-09-03 06:34:31
4
mrstevez882
mrs teves :
😂😂 ila mapenzi hatari me niliambiwa mume wangu sio bwana wangu
2026-09-02 13:51:19
2
mummie_twinkle02
mummy_twins :
Sasa ngoja niwape story m nmepigiwa naambiwaa sikwambii achana na mume wang lakin sali sana na kama unaroga roga sana sasa kama alikua atak kunambia achana na mume wang si angekaa kmyaaa kwann anipigieee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-09-03 05:49:56
2
binti.sultan45
DA WAA🌹🥀 :
ngoja nicheke kidogo kwanza 😁😁
2026-09-02 14:26:32
2
rouhy1667
Rouhy💕 :
Nimechangamka 😂😂😂
2026-09-04 05:30:07
1
rabiasarehe
Rabia😘 :
alinambia hvy na alinikuta yy, mwish wa siku akaachwa😂😂😂
2026-09-03 09:22:08
2
__muubby__1
Muuh🌹 :
Ningeipost Ila nitaonekana 😂😂😂
2026-09-04 13:50:36
1
bin.ally90
@Bin ally :
aminii
2026-09-03 19:39:05
1
kimwanamohammed
Kim kiface :
🤣🤣🤣🤣🤣daahh
2026-09-02 21:59:35
1
saida.msuya1
🥰Saida msuya🥰 :
😅😅😅😅 nimecheka thaaan leo nashukury sipo peke angu ahhaha🙌🙌🙌
2026-09-04 17:29:08
2
taushaibu
tatu shaibu :
sikupigiwaa simu nilifatwaa live na sijuw kwangu alipajuaje nyie
2026-09-04 20:01:09
2
sleynahsayluh
She is Crying A lot 😢 😭 :
Basi inabidi tupate cheti kabisa wengine🤣🤣🤣
2026-09-05 09:58:00
1
pamy_gella
PAMY_GELLA❤️ :
haha mie naambiwa niachane na mumewe🤣🤣🙌🏽
2026-09-03 05:38:20
3
rhematy058
Rey moh!!!🥰💥 :
hatareee acha tuu😂😂😂
2026-09-02 13:57:24
1
sqush83
mumy ♧Ravy☆ :
cjawah
2026-09-02 13:30:40
1
adrianmollel
💦AMYRA MOM💞💦 :
🤣🤣🤣na chaajabu bwana anakuja analalamika eti hampendi Ananipenda mie nyiieeee🤣
2026-09-05 05:09:02
1
khaduu89
Dii89 :
Mmh alinifuata adi kazini kwangu moja kwa moja kwa boss wangu alipajuaje kazini kwangu story ni ndefu🤐🤐🤐Mungu anisamehe mana najua nilikosea nimeacha
2026-09-05 09:08:12
2
To see more videos from user @zalmer_lisher, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About