@drgreysonbabishomba: Gen Z wanyang’anywe simu, watumie viswaswadu!📱

Profesa Greyson Babishomba
Profesa Greyson Babishomba
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 05:37:54 GMT
38223
2243
161
169

Music

Download

Comments

mabuluki.geni
MABULUK BOY TZ 🇹🇿🇹🇿 :
tap tap sceer guys😂😂😂😂
2026-09-02 12:51:45
26
nyatu1010
nyatu :
tanzania hatupo sawa toka maandamo yapite
2026-09-02 17:03:09
9
user7348103675905
Michael mussa :
munataka tulale mapema mturoge wewe naijua hiyo
2026-09-20 21:20:41
3
meandyou.gospel
Sam❤️🔐 :
me na dls mpaka asubui
2026-09-03 16:25:30
4
happiness.lyatuu
Mayya luxe🥰🦋 :
anzeni na mim 😂😂😂 maana bila kuangali kipindi cha pipitida 😅😅 siwez eka sim chini mpk saa 7 8😅😅
2026-09-02 06:16:04
7
privatelife207
user48687956565 :
Mi kwa mtazamo wangu, na maoni yangu, nadhani inabidi niweke sawa kwamba kwa maneno machache sana niseme mimi kama mm naweza kuwa na mtazamo ambao Nitapenda kusema kuwa kwa maoni yangu naona ni vema kueleza kuwa inabidi sasa niweke sawa maelezo yangu kuwa hili suala ni ambalo kwa maoni yangu naona kuwa maneno ambayo naweza kueleza kwa ufundi sana na kutokana na mawazo yangu. Sasa nimalizie kwa kusema kuwa naona mawazo yangu ambayo yanaeleza kuwa mtazamo ambao mimi binafsi ningetamani kusema kuwa inabidi maelezo haya ambayo nayatoa ni kwamba, kwa maneno machache nieleze kuwa naweka wazi ya kwamba maoni yangu na mawazo yangu naeleza kuwa mtazamo huu ni kueleza kuwa sina la maana ndugu zangu.😁
2026-09-02 18:15:51
1
itsaurapure
Lii :
Mnakesha live😂
2026-09-06 13:46:16
1
user2081049304670
Ennly :
Tuta juanaje sasa@
2026-09-03 20:43:08
1
frankwambura11
弗兰克 :
nimezaliwa tar31/12/1999 saa5:59pm
2026-09-02 15:11:27
1
moneyquite
moneyquite :
mimi Wa 2009 na nina Simu 3 Iphone 14 Promax 16, Pro na 17
2026-09-20 22:18:29
0
user16327966137546
Chacha :
Nimesahau huyu ni nani TZ
2026-09-20 18:29:12
1
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
unatafuta comment gan mwenetu nashindwa kuelewa 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 11:49:10
3
essie3380
Essie🦋🦋🦋 :
lkn uo utafiti wako kama kwel, mm nipo wilaya ya kinondon katika hao watu 3000, mm kama nipo kwa sabab mbk muda huu na sinzia uku naangalia cm, Jana nililala saa 7 usiku😂😂😂, doctor wa mchongo na simu hatupokonywi usitake kutuingia maungoni ss ndy watoto wa elf mbili bwna😅😅.
2026-09-22 09:36:05
1
user5120026904144
ctv.bm tz :
wakuwanyang'anya ni nan?
2026-09-02 13:49:04
8
user6050851495324mrisho
mrisho seleman :
live
2026-09-02 10:59:29
1
kingmancha
kingmancha :
hapo umefeli pakubwa okay labda siyo mm
2026-09-02 09:56:01
4
gilbertmrinja
Gilbert mrinja :
sahivi atutokua tunalala kabisa
2026-09-02 06:32:17
2
grace.fabian97
Grace Fabian :
ila wew
2026-09-02 10:34:12
1
cocowa291
coco🥥 :
kumbe wamerara basi tumepona si tumelala
2026-09-02 13:37:50
1
paschalpius395
😡😡😡😡 :
kwani G nzi wao wanasemaje
2026-09-02 08:02:45
1
neemawilibroad
Neylixa :
😁😁😁😁 Ata Mimi nimo nitaje jina Sasa
2026-09-02 05:46:49
1
ghanapath1357
Ghanapath1357 :
mimi nalala mchana ko usiku silali, kwa sababu nafanya kazi ya ulinzi 😂😂
2026-09-02 10:04:36
1
wema.yohana6
Wema Yohana :
labdA wakenya
2026-09-28 08:12:12
0
devokimbe
Devo27 :
ila e football ball jaman mm nililala saa 10:27 nakwaza vidole
2026-09-27 18:09:55
0
dicksonadroph
Dickson Adroph :
dar
2026-09-02 05:47:34
0
To see more videos from user @drgreysonbabishomba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About