wewe huskii boss wangu anajua bwana yangu ni military, my mum ni queen of kenya na mm ni princess,mtoto wangu ako international school, anaenda na helicopter,akiuliza na mbona unafanya hii kazi nasema mm ni international spy ๐๐
2026-09-02 21:07:47
6
rosery :
kwaza mimi ni criminal siwezi karimbia familia ya mzee nitanyongwa๐๐๐๐