@mkuuculturaltourism: Karibu utembelea Nyumba ya Asili ya Wachagga wa Rombo na kujionea maisha, mila na desturi za jadi zilizorithishwa kutoka kizazi hadi kizazi. Hapa utajifunza historia na utamaduni halisi wa Wachagga katika mazingira ya kipekee ya Rombo, pia kupiga picha na matembezi kijijini. #Culture #Warombo #Rombo #CulturalTourism #VisitKilimanjaro