Masha Allah tabaraka sheikh Dalila amekuwa na uwezo mpaka ameingia moyo za watu..
amejuwa kwamba hawana lengo kwenye dawa...
Mimi sijui manake nini ayah hii...
: {يَعْلَمُخَائِنَةَالْأَعْيُنِ وَمَا تُخْفِي الصُدُورُ}
NI Nani ambayo wajua ambayo yafichika Moyoni...
2026-09-02 20:42:07
0
user2332043961591 :
subhanaallah wabihamdi allahu akbar astafiruallah waatubuileik nusraminaallah allahuyalam
2026-09-02 07:29:20
0
Ibnséíf :
kwani uongo....wale wapiii?...
2026-09-02 16:49:13
0
Faidika Na Mawaidha :
Abdul Khatwab anachuki sana huyu jamaa, Nachukia sana Kumsikiliza, Kwan Hakuna mawaidha bila kuongelea watu??
2026-09-02 18:25:16
1
luda..b :
🥺🥺🥺
2026-09-02 19:13:32
0
To see more videos from user @ahlulatharmedia, please go to the Tikwm
homepage.