@stanbakora_: Ninywe Kabisa Mimi😃

Stan Bakora
Stan Bakora
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 02 September 2026 06:26:24 GMT
217198
34344
977
268

Music

Download

Comments

kagurujr1
zombie :
Jana nimekunywa juice ya Jambo mpaka saivi nacheka cheka tu😁😁😁
2026-09-02 06:35:08
445
_ms.capricorn
__her 🗽 mystery🧊 :
stan hujawai kua serious hata kwenye shida🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-09-02 09:23:01
613
zulphatswalekhe
zulphatswalekhe :
Adi na mm nkachek 😂😁😁😁😁
2026-09-02 14:28:51
0
justinlegelo
J$TIN TZ🇹🇿 :
Leo nimekua wa kwanza kucomment we nenda kawasikilize 🤣
2026-09-02 06:33:03
231
wanzukicomedy1
WANZUKI :
ikifika 1k njon mnishtue😁
2026-09-02 06:46:25
166
mundhir_said
official..Muu :
baba wewe content creator dahh salut broo hiii imeendaaa
2026-09-02 14:22:13
0
hawa.baby91
hawa 👶 baby :
😂😂😂da pipy nishushe
2026-09-02 14:24:29
0
user60231109558437
TOTA design furniture :
we stan so powa
2026-09-02 16:46:15
0
user142080830732
MOM G :
Ila hii nchi jmn watu wameitwa ila ndo charengee 🤣🤣🤣
2026-09-02 07:20:11
101
abdelhamdikingwande
Abdelhamdi kingwande :
Big up broo
2026-09-02 10:58:32
0
khatibnail
khatib :
stan ata kwenye matatzo hajawah kuwa serious 😂😂😂😂
2026-09-02 10:43:51
117
user23821115081815
🎀Mishi🎀 :
hiii ila weweweee 😂😂
2026-09-02 15:11:25
0
prince.sadi94
Prince black :
Dah Ila uyu jamaa 😂😂😂😂😂
2026-09-02 10:21:14
20
gemma.son01
LUKA'S :
JAMANI hii nchi hatujawah kupumzik tangu October 29🤣🤣🤣mara Wema kajifungua, punde si punde Zuchu na baby shower hatujakaa Sawa miaka30 ya Bongo flavour na tunaanza kukaa Sawa Dotto Magari kaathirika,Dotto analet vipimo kutoka Zanzibar, mara Kuna mtu katoka kigoma na baiskeri mpaka kawe kwa mwamposa, mara police wamechukua simu ya pipytida mara Nchimbi anatupanga tudai katiba kabla hatujakubali Wema kawa single mother tunaanza kutaharuki Baba Nchimbi kajiuzulu haya tunaamka asubuhi kumbe CCM walimfukuza huyu Mzee sasa ndio nataka kutulia nakuta mwamposa kaangusha mchawi huko Arusha alikua anatoka bariad kwenda mbeya daaa hii kasheshe nayo sijakaa vzur kuna free juma jux🤣🤣🤣 cjakunywa ata chai mauwa sama ni mjamzito😂
2026-09-02 15:07:45
15
mwajcollection
mwa j collection :
ila stani nimecheka kama kichaaa😂🤣
2026-09-02 07:43:28
40
zulfasultan360
Zulfa Sultan :
alafu huyuu 😃😃😃 jamani ata ukiwa usongo wa mawazo unakikita unacheka mwenyewe
2026-09-02 07:25:56
48
msafi_clothingbrand
msafi outfit store 🛍️🛍️ :
we wakili wako ana kazi sana🤣🤣 bado unawafanyia content 😅
2026-09-02 07:48:06
51
mishyboutique00
Mishi :
Unazidi kuwachokoza😂😂
2026-09-02 07:17:34
20
abel2003mwambalila
abel2003mwambalila :
mbona kila post unakunywa jambo
2026-09-02 13:24:42
8
_shadee26
Dee🤑royal🫦🙅🏽‍♀️ :
Na kweli ulipo a😂😂🫴
2026-09-02 13:20:14
25
ifakarahom
Rui madanga :
ukiulizwa umekunywa chai kataa wakupe ya mziwa🤣
2026-09-02 06:39:57
22
mr.never.give.up69
Mr never give up :
ahhhhhh kaka ujawai kuwa serious
2026-09-02 06:53:13
22
user3781658810567
Morgan 🙏🤝 :
stan zamana nitakuwekea Mimi mwanangu usiwaze..
2026-09-02 07:14:10
9
peace.hd
AMANI• #PC#√*$€G :
Hapo kwa mama jesca
2026-09-02 12:56:10
9
nerl55
Safia chussy :
kafanyje kwan
2026-09-02 09:09:20
6
To see more videos from user @stanbakora_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About