@fertilityexpert: Wakati Mwingine Tatizo Sio Kwamba Hupati Ujauzito… Ni Mwili Wako Umechoka Kupambana Na Stress Kila Siku. 💔 Stress Ya Muda Mrefu Inaweza Kuathiri Homoni Zinazohusika Na Ovulation, Hedhi Na Uwezo Wa Mwili Kujiandaa Kwa Ujauzito. Unawaza Sana… Unahangaika Sana… Unalia Kimya Kimya… Halafu Kila Mwezi Unaona Period Imefika Tena. 😔 Na Hapo Ndipo Unaanza Kujiuliza, “Labda Tatizo Ni Mimi?” Hapana. ❤️ Usijilaumu. Mwili Wa Mwanamke Una Connection Kubwa Kati Ya Akili, Homoni Na Mfumo Wa Uzazi. Hii Haimaanishi Kwamba Stress Pekee Ndio Chanzo Cha Infertility… Lakini Chronic Stress Inaweza Kuwa Moja Ya Vitu Vinavyovuruga Mfumo Wako Wa Uzazi. Jipe Muda Wa Kupumua. Tafuta Msaada. Na Kama Umejaribu Kwa Muda Bila Mafanikio, Usibaki Ukikisia—Fanya Tathmini Sahihi Ya Uzazi. 🤍 Kama Unajaribu Kupata Ujauzito Na Unahisi Kuna Kitu Hakiko Sawa, Book Consultation Nami Ili Tuchunguze Hali Yako Na Kujua Hatua Sahihi Ya Kuchukua. 📩 Tuma “CONSULTATION” Kwenye DM Kuanza. Mwili Wako Unahitaji Msaada, Sio Lawama. #FertilityAwareness #InfertilitySupport #HormonalHealth #WomensHealth #swahilimedics