Unakuta umechukua 11 promax kianzio 180,000 pale kwenye deni panasoma 680,000 unafosi unamaliza.sasa siku wapigie wale wale kuwa unataka kuuza hiyo simu wana kwambia 300k 😂😂😂
2026-09-02 07:43:05
4
Kisoka Yuda :
sawa Suluhisho ni lipi au tunatokaje hapo kutoka kwenye unyonyaji kwenda kwenye unafuu !!!
2026-09-03 05:38:54
0
Tujifunze Wote :
leo.kama nimeanza kukuelewa hivi🤣
2026-09-11 00:09:48
0
ibrahimfumbo :
kama haujamaliza mali ukweni tuko pamojaaa
2026-09-03 19:48:59
0
NGOLETRONICS :
Daaah watu wanapigwa sana
2026-09-05 07:19:34
2
ŁG〆VIKRAM :
MDM anakutana na f64 na Easy Jtag Je mchina anafaidika nini
2026-09-03 12:58:30
2
Lab iPhone Repair :
Wizi mkubwa sana
2026-09-05 04:38:21
0
edward falu :
😂😂😂 Nilichukua nilivokaa na kukokotoa hesabu weweeeeeeee🤣 mbona nilikaa nayo wiki moja nikawarudishia kwa kigezo cha product mbovu. yaani product ya 350k afu nilipe 820k duh sitarudia tena. ilikuwa 2021
2026-09-15 03:46:50
0
Daniel Patrick Robert :
utapeli w mchina huo Sasa maan yake 1.08/1.8 ni 60% kwa miez 3?......20%pm .....microfinancing ikizd 10%pm ni huzuni
2026-09-04 19:52:08
0
MC NUCCI EVENTS :
finaly hili jambo limeongelewa
2026-09-03 09:30:08
0
️ :
🤣🤣🤣 Kwa upande wangu sio wizi, ni akili tu 🤣🤣🤣, nimeipenda sana
2026-09-03 13:48:47
0
Kama noma® :
hii imeenda boss
2026-09-20 13:40:13
0
Genuine_iphonestore :
Tafuta hela nunua in cash😂😂😂 Mbn huongei hasara wanazopata 😀😀watu kuacha kulipa
2026-09-03 06:04:17
0
SHILINGI ACCESSORIES :
kama huna hela una haja gani ya kufosi upate iPhone, mchina yuko sawa kabisa, kama ni hivyo mbona kuna wabongo nao wanakopesha hizi Samsung A series wanawapiga sana wabongo wenzao!
2026-09-04 03:23:21
0
KILUPA MAPOCHI :
Unataka simu nunua cash mkopo wa simu ni umaskini 😂🤣
2026-09-04 03:00:39
0
24/7 ✈️ :
😂
2026-09-02 16:57:22
0
To see more videos from user @mj_iphone_shop_tz, please go to the Tikwm
homepage.