@mbtvkenya: 🌙✨ TUNU YA KHERI — KHERI YAKO, MWANGA WA MWENZAKO!✨🌙
Sheikh Mselem Bin Ally anawaalika Waislamu wote kuunga mkono Tunu ya Kheri kwa kununua tiketi na kuwa sehemu ya programu hii yenye lengo la kueneza kheri na kuunganisha Ummah. 🤲🏽❤️
🎟️ Nunua tiketi yako leo: https://tunuyakheri.com
Usisubiri mwingine afanye — anza na wewe!
Kila tiketi ni hatua moja ya kuendeleza kheri. 🌍💚
Tunu ya Kheri — Tushirikiane Katika Kheri!
#TunuYaKheri #TunuYaKheri2026 #Ummah #TushirikianeKatikaKheri #KheriKwaWote